aiseeKaamua kuchana hotuba ya Trump baada ya kukataa kumpa mkono
View attachment 1347278
View attachment 1347279
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Mmoja ana K mwingine hana
Huyo Mama ni wa Mwendokasi, ameonyesha kukerwa na dharau aliyooneshwa na trumpet. Trumpet ndivyo alivyo ni mtu ambaye haishiwi vituko. Kwa Demokrasia ya hivyo kwetu hatuitaki kabisa. Demokrasia gani ambayo inatengeneza chuki, dharau na kukosa say ya pamoja.acha kumfananisha Nancy na mijitu ya ovyo inayo endeshwa kama kwa remote na isiyo jitambua kama job ndugai…………...hapa hakuna kumung'unya mameno, makali live!
Huyu mama ni chuma.Kaamua kuchana hotuba ya Trump baada ya kukataa kumpa mkonoView attachment 1347278View attachment 1347279
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumjadili Zitto ni kukosa kazi.Bunge la Marekani limeishiwa ajenda, wamekalia kumchokonoa Rais.. Bunge la Tz lina kazi nyingi.. Midahalo au mijadala ni sehemu ndogo tu ya kazi za bunge.. Behind the scene bunge linafanya kazi kubwa hasa kupitia kwenye kamati.
Ni vitu gani unavyolinganisha na kutumia criteria zipiHawa wote ni maspika wa mabunge yao.
Nachelea kusema Ndugai hawezi kuvaa viatu vya mwanamama Pelosi kwa umahiri na ushujaa wa kusimamia maslahi ya Taifa bungeni.
Inaonesha jinsi Separation of Power ilivyo na nguvu. Hakuna taasisi iliyo na nguvu dhidi ya taasisi nyingine.
Mambo yanayoendelea bunge la sasa la Tz ni aibu. Kuna wakati unatamani hata usiwe mtanzania kwa hoja na maazimio yasiyo na vichwa wala miguu.
Marehemu Sitta alijitahidi kuweka uzani sawa kama Spika wa Bunge. Huyu wa sasa ni kihoja.
Changamoto kwenu watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawezi kufanya tofauti na waongeacho! Kama mbunge anasimama bungeni anasema mbunge fulani auawe hapo jua kichwani hamna kitu na kwenye kamati huko pia hamna kitu!Bunge la Marekani limeishiwa ajenda, wamekalia kumchokonoa Rais.. Bunge la Tz lina kazi nyingi.. Midahalo au mijadala ni sehemu ndogo tu ya kazi za bunge.. Behind the scene bunge linafanya kazi kubwa hasa kupitia kwenye kamati.
Behind the scene ni kumlamba jiwe miguu na kuangalia namna ya kuwadhibiti wapinzani BungeniBunge la Marekani limeishiwa ajenda, wamekalia kumchokonoa Rais.. Bunge la Tz lina kazi nyingi.. Midahalo au mijadala ni sehemu ndogo tu ya kazi za bunge.. Behind the scene bunge linafanya kazi kubwa hasa kupitia kwenye kamati.