Watakaokupa ushaur wa kumpata,watakua wameshriki kutia doa ndoa ya jiran yako,wewe unataka cha mwenzako kwan wengne hawapo? Mwenzio juz kacharagwa viwembe vya uso,acha tamaa na usikute unalipa tu vizur,ila vitamaa vinakusumbua,au huwa hujisikii mnyegeresho unapokua na bwana mpaka uchukue mume wa mtu? Tena hata husikii uzito kuposti thread kama ii? Just be fair wewe ndo ungekua mkewe af ujue mwanamke mwngne anamtega unge feel aje?
mhhh dunia imevaa bukta:embarrassed:Mi nakushangaa sana wewe NOT ENOUGH hivi kweli mpaka ujigonge kihivyo kwa huyo mume wa mtu inakuwaje? Inawezekana wewe ni mchunaji tu sasa umeona labda jamaa anafanya kazi sehemu nzuri ndiyo maana unajitia kumind kumbe umemind fedha zake tu! Mimi nijuavyo asilimia kubwa ya waume za watu wanaopendwa nje ya mahusiano yao ni kwa sababu ya mkwanja na hao wanawake hujiridhisha kuwa wanaweza kuhudumiwa bila shida toka kwao.
Kuwa mume wa mtu halafu uwe kapuku kisha omba mchezo nje tena na mtu anayekujua kama hujaambia huyo mkeo hakutoshi?
Nina shaka na wewe kuwa ni mtu wa kupenda mastarehe na upo tayari kwa mtu yoyote yule.
Acha ujinga, mume wa mtu sumu wewe.
Na wanawake wenzako watakufanyia waliomfanyia huyu
Bora na huyo alitoka salama,akihama mji aibu inapungua.....kuna mama mtaani kwetu alimtumia hawara ya mumewe vijana wakamuua,kuna watu wana roho mbaya kuliko ya kwako kutaka kuiba mume wa mtu,huwezi jua mwenzio kampataje au kafikaje nae hapo......in short,ikimbie hiyo tamaa,itakuangamiza,utakuja jihurumia mwenyewe,umesema mi naku-mind but nakutakia tu mema,na pengine nina uzoefu......
Kama nia yako sio kuongeza post tu punguza tamaa!Kama ni mume si utafute wakwako?Hata aibu huna?Mpaka unajilengesha!Uzuri huyo mwanaume sio mapepe kama wewe!
huyu alomuua mwenzie kafika mbali,unaua kisa nini kigozi na nywele au?
mhhh dunia imevaa bukta:embarrassed:
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
nimekustukia, ni mimi na niko humu JF. kumbe ndio maana huwa unajifanya kutaka kuwa karibu na mimi. kumbe ulikuwa unanitaka. sasa si ungeniambia tu toka siku zile kuliko kukaa unaumia rohoni? anyway...ni PM tumalizie mambo ote humuhumu bila wife kujua. karibu sana
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.