Namzimia mtangazaji East Africa Radio Scola Kisanga

yuko vizuri sana kichwani yule mdada, anajua mambo kwa ufasaha nahisi atakua vzuri kila sekta. i like her too
 
Hii

Facebook na,wasap imehamia jf
 
Kipindi chake ni saa ngapi nami nipate kumsikiliza?
 
Huyu binti anajua sana kutangaza na sauti yake ina nivutia sana hunifanya nisikilize EA DRIVE(NDINGA) halafu kipindi chao ni moja ya vipindi bora vya jioni kuna ubunifu wa pekee,,
Mwanzo nilikuwa namfananisha sauti yake na Irene Tilya
malyakishu
kumbe ndio huyu aseeh

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Mwenyew namzimia sana Rose Ndauka. Nina ndoto siku moja nikutane nae, hata kama ameolewa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…