Namwona X wangu anavyoteseka juu yangu

Namwona X wangu anavyoteseka juu yangu

Rafiki na mie nimetaka kusema hivyo. Ingekuwa hampendi angeshafanya kile ambacho kingewatenganisha na hakuna ambaye angeona kile mwenzie anafanya.

#Warudianetu.
Vijana wa siku hizi unafikiri wanajua thamani ya mapenzi rafiki , wamekuwa kama wehu tu wa majalalani 😀😀😀😀... wapo wapo tu hata visa vyao ni kama futuhi tu
 
Kuna kawimbo muekee status kanaitwa x nenda salama, kamstari ka mwenzako nampa nyama choma anakula hadi mishikaki, akisikia hicho kiwimbo atakatika maini!
 
Kuna kawimbo muekee status kanaitwa x nenda salama, kamstari ka mwenzako nampa nyama choma anakula hadi mishikaki, akisikia hicho kiwimbo atakatika maini!
Ndio maana watu siku hizi wana uana kwa mambo kama haya ya kutambiana, mwana anaoba bora wakose wote 😀😀😀
 
Vijana wa siku hizi unafikiri wanajua thamani ya mapenzi rafiki , wamekuwa kama wehu tu wa majalalani 😀😀😀😀... wapo wapo tu hata visa vyao ni kama futuhi tu
Maigizo mengi rafiki. lol.
 
Yaani sana mkuu, hapo bidada anafurahia kweli anaona jamaa anaumia kumbe ataka apashe kiporo tu
Na huwa ni mechi moja matata sana, ya watu wa hivyo... hawa kila mtu ana hamu sana mwenzake wakaonesheana ma skills mapaya hawana lolote
 
Na huwa ni mechi moja matata sana, ya watu wa hivyo... hawa kila mtu ana hamu sana mwenzake wakaonesheana ma skills mapaya hawana lolote
Ndo maana mimi habari za ma X, sitaki kusikia kabisa kwa mwenzangu.

Hawa wanawake ni dhaifu sana aisee
 
Huyu X wangu simwelewi, mara atume text nimemic uchi wako, mara nimekumiss. Nikipost picha zangu haishi kunisifia nimependeza, nikipost mwanaume anauliza huyo ndio Shem? Yaani kila ninachopost lazima a-view na a-coment

Natamani kama nibadilishe no maana alinifanyia vituko sana tulipoachana baada ya kuwa na mahusiano yake mapya nilikuwa nikimpigia anakata, nikituma message hajibu na alinipiga biti nisimtafute kabisa. Sasa saizi ananitafutiatafutia nini?
Kweli hawara hana talaka ukimtaka una mpata.
 
utoto raha sana, hata mimi nimemiss sana enzi za utoto
 
Ndo maana mimi habari za ma X, sitaki kusikia kabisa kwa mwenzangu.

Hawa wanawake ni dhaifu sana aisee
😀😀😀.. kweli mkuu, na condition ya kwanza lazima apige chini mawasiliano ya ma x wote, tofauti na hapo.. kuna mazingira atashikwa na hatoweza goma kuachia mzigo.. ni ma x wachache sana huwa wana heshimiana, ila wengine tena kama ulikuta waliachana kwa amani, hapo kuliwa nu dk 0 tu
 
Back
Top Bottom