Huyu X wangu simwelewi, mara atume text nimemic uchi wako, mara nimekumiss. Nikipost picha zangu haishi kunisifia nimependeza, nikipost mwanaume anauliza huyo ndio Shem? Yaani kila ninachopost lazima a-view na a-coment
Natamani kama nibadilishe no maana alinifanyia vituko sana tulipoachana baada ya kuwa na mahusiano yake mapya nilikuwa nikimpigia anakata, nikituma message hajibu na alinipiga biti nisimtafute kabisa. Sasa saizi ananitafutiatafutia nini?
[/QUOTE
Bado inaonesha ata ww bdo unampenda japo muliachana na yote yaliotokea. Kwny Maisha hutakiwi kurudi nyuma yaliyopita ni historia. Kma utaendelea kuyabeba hutafanikiwa Kwa lolote maana history itakuwa inakuumiza. Ishi maisha mapya songa mbele fanya maamuzi sahihi Kwa kila jambo