Namwambiaje Nampenda?

Namwambiaje Nampenda?

wandugu wazimaa?

nina jambo lanitatiza.

Tumesoma wote kidato cha kwanza na cha pili. Alikuwa akinipenda lakini hakuweza kuniambia nilikuwa nikiambiwa na rafiki zake.Nilihama ile shule kwahiyo hatujawahi kuonana since then, ni miaka 21 imepita sasa. tumekutana miezi miwili iliyopita na tumetokea kuwa marafiki wazuri tu. i think am falling in love with him but siwezi kumwambia. naanzaje? ananionyesha signs zote kama ananipenda he treats me like his woman mpaka sometimes naona too much ila hayawahi kutamka kitu chochote na hatujawahi hata kushikana mkono zaidi ya hug tu niliyopata juzi kati hapa.
nikimwonyesha nampenda naogopa atanichukulia poa so nagugumia tuu ndanindani. sijui nifanyejeee .

https://www.youtube.com/watch?v=5biXOH7Wlfs
 
Tyta huwa na kukubali kwa picha na evidence.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huyu raia kaamua kushika watu masikio tu...

Kwa namna anavyotaja hizi time frame, kwa sasa atakuwa na umri kati ya miaka 35 ~ 38 hivi...

Sasa hiki si kibibi kabisa kishatongozwa hadi kimechoka, hebu ona kinavyotuletea pumba hapa...

Ndo maana nimeshtuka Mkuu.
Maza kuja kutuomba ushauri wanae kuhusu Mapenzi:A S-eek:
 
hahahahaaa wananchi acheni fujo jamani. naweza kuwa na miaka hata 40 lakini sijui kutongoza mwanaume mie hutongozwa tu. nahitaji maujuzi jamani hee.

Halafu wewe Tyta (sijui kumention i hope utasikia), hizo sio story, ni issue za ukweli zote mbili na muhusika ni mimi. baada ya jamaa wa kwanza kuzingua ( it's a long story kama reli) nikatupia macho kwa aliyekuwa karibu yangu sana na ndo nimemdondokea sasa.. ila sasa naomba niwaambieni jana baada ya mihangaiko ya siku nikakutana na mkaka si akafunguka mwenyewe bana, kwamba ooo ananipenda siku nyingi tangu miaka 20 iliyopita..mie wheeew afadhali sijawa wa kwanza kusema.

nawashukuru sana jamani The Boss na wengine kwa kunambia cha kufanya, na hata Tyta kwa kufukunua ya zamani..chochote nitakachoandika humu mjengoni ni ukweli mtupu hata kama haunihusu basi unamuhusu wangu wa karibu.

Nawapendaje sasa :A S 11:
 
wandugu wazimaa?

nina jambo lanitatiza.

Tumesoma wote kidato cha kwanza na cha pili. Alikuwa akinipenda lakini hakuweza kuniambia nilikuwa nikiambiwa na rafiki zake.Nilihama ile shule kwahiyo hatujawahi kuonana since then, ni miaka 21 imepita sasa. tumekutana miezi miwili iliyopita na tumetokea kuwa marafiki wazuri tu. i think am falling in love with him but siwezi kumwambia. naanzaje? ananionyesha signs zote kama ananipenda he treats me like his woman mpaka sometimes naona too much ila hayawahi kutamka kitu chochote na hatujawahi hata kushikana mkono zaidi ya hug tu niliyopata juzi kati hapa.
nikimwonyesha nampenda naogopa atanichukulia poa so nagugumia tuu ndanindani. sijui nifanyejeee .

Kazi unayo, si wanaume wana uwezo wa kusoma "alama za nyakati" Labda huyo ni aina hiyo. Maana mpaka umeandika hapa kila dalili umemwonyesha lakini hajagundua. Go an extra mile!
 
we ni me au ke? una umri gani? yaweza kuwa ushazeeka ata kuanza umesahau uanzeje! 21yrs imepita???????????? wakati huo mlikuwa na umri gani?
 
Back
Top Bottom