Namwambiaje Nampenda?

Namwambiaje Nampenda?

Last edited by a moderator:
dah.....wewe umezaliwa miaka ya sabini for sure...

kuna a lot of ways these days...

unaweza anza na 'morning dear' morning honey...hadi good night my love na sweet dreams babe...

sijui hata kutuma sms kama unajua
d

How abt... good afternoon sweetpie. Umenichekesha
 
dah.....wewe umezaliwa miaka ya sabini for sure...

kuna a lot of ways these days...

unaweza anza na 'morning dear' morning honey...hadi good night my love na sweet dreams babe...

sijui hata kutuma sms kama unajua

hahaaaa
 
ongeza miez miwili mingine ya kumfahamu zaidi..... then kama akiwa kimya.... inabdi kumwambia
 
Mkuu huyu raia kaamua kushika watu masikio tu...

Kwa namna anavyotaja hizi time frame, kwa sasa atakuwa na umri kati ya miaka 35 ~ 38 hivi...

Sasa hiki si kibibi kabisa kishatongozwa hadi kimechoka, hebu ona kinavyotuletea pumba hapa...

Miaka 21 iliyopita ni mwaka 1993, tayari ulikuwa kidato cha pili.

miss chagga ulikuwa wapi mwaka 1993?
 
kwa age ya mleta maada..ata nafsi inanisuta kumshauri!
 
Back
Top Bottom