Namwambiaje Nampenda?

Namwambiaje Nampenda?

cherylsweet

Member
Joined
May 28, 2014
Posts
15
Reaction score
6
Wandugu wazimaa?

Nina jambo lanitatiza.

Tumesoma wote kidato cha kwanza na cha pili. Alikuwa akinipenda lakini hakuweza kuniambia nilikuwa nikiambiwa na rafiki zake.

Nilihama ile shule kwahiyo hatujawahi kuonana since then, ni miaka 21 imepita sasa.

Tumekutana miezi miwili iliyopita na tumetokea kuwa marafiki wazuri tu, i think am falling in love with him but siwezi kumwambia.

Nitaanzaje ananionyesha signs zote kama ananipenda he treats me like his woman mpaka sometimes naona too much.

Ila hayawahi kutamka kitu chochote na hatujawahi hata kushikana mkono zaidi ya hug tu niliyopata juzi kati hapa.

Nikimwonyesha nampenda naogopa atanichukulia poa.

so nagugumia tuu ndanindani.

sijui nifanyejeee .
 
mmmmmmh kumwambia live inahitaji ujasiri mwonyeshe kwa vitendo kwamba unamhitaji chunguza kwanza kama hana mtu
 
wandugu wazimaa?

nina jambo lanitatiza.

Tumesoma wote kidato cha kwanza na cha pili. Alikuwa akinipenda lakini hakuweza kuniambia nilikuwa nikiambiwa na rafiki zake.Nilihama ile shule kwahiyo hatujawahi kuonana since then, ni miaka 21 imepita sasa. tumekutana miezi miwili iliyopita na tumetokea kuwa marafiki wazuri tu. i think am falling in love with him but siwezi kumwambia. naanzaje? ananionyesha signs zote kama ananipenda he treats me like his woman mpaka sometimes naona too much ila hayawahi kutamka kitu chochote na hatujawahi hata kushikana mkono zaidi ya hug tu niliyopata juzi kati hapa.
nikimwonyesha nampenda naogopa atanichukulia poa so nagugumia tuu ndanindani. sijui nifanyejeee .

Just roll the dice and tell him.

Think about it this way...what's the worst that could happen if you tell him other than him saying no?

And him saying no is not the end of the world. So go for it.

Tell him and you'll be relieved to know that you did the best you could and now the ball is in his court.
 
Hahahahahahaha thebossunaweza anza na 'morning dear' morning honey...hadi good night my love na sweet dreams babe...
dah.....wewe umezaliwa miaka ya sabini for sure...

kuna a lot of ways these days...

unaweza anza na 'morning dear' morning honey...hadi good night my love na sweet dreams babe...

sijui hata kutuma sms kama unajua
 
Last edited by a moderator:
njia ya mwongo..................

wandugu wazimaa?

nina jambo lanitatiza.

Tumesoma wote kidato cha kwanza na cha pili. Alikuwa akinipenda lakini hakuweza kuniambia nilikuwa nikiambiwa na rafiki zake.Nilihama ile shule kwahiyo hatujawahi kuonana since then, ni miaka 21 imepita sasa. tumekutana miezi miwili iliyopita na tumetokea kuwa marafiki wazuri tu. i think am falling in love with him but siwezi kumwambia. naanzaje? ananionyesha signs zote kama ananipenda he treats me like his woman mpaka sometimes naona too much ila hayawahi kutamka kitu chochote na hatujawahi hata kushikana mkono zaidi ya hug tu niliyopata juzi kati hapa.
nikimwonyesha nampenda naogopa atanichukulia poa so nagugumia tuu ndanindani. sijui nifanyejeee .

Hebu nielezeni labda mie mshamba

Started by cherylsweet, 5th June 2014 15:20
Kwanza shikamooni/marahabaa

Mie ndo mara ya kwanza kupost mada humu jamvini, yamenikuta. Kuna kijana nampenda mnooo na yeye anajua hilo, hapo mwanzo tulikuwa wapenzi lakini kwa sababu zisizozuilika tukaachana tukaja onana tena miezi miwili imepita anasema ananipenda bado lakini ana mtu ambaye amempromise kumuoa .

Kwa mantiki hiyo basi anaugulia tuu hata usiku wa manane msg zatumwa na nini na nini lakini anasema hatuwezi kuwa pamoja. Akinipigia simu ananambia nampa shida. Anataka kumuacha huyo msichana lakini hajamkosea kitu anaogopa kumuumiza, ila yeye anaumia kwa kuwa hatupo wote.

Sasa nauliza kwanini mapenzi yakoje, kuumiza mtu au kujiumiza mwenyewe. Kwanini apate shida while he is the decision maker?
umepata kaexperience kazuri kwa miaka mitatu ili utudanganye eeh??

RE: Hii

Started by cherylsweet, 30th May 2014 12:54
Hi Good people.

I am new to post in this forum but have been reading for the past 3 years.

I JUST LOOVE JAMII FORUMS. BIG UP GUYS.
 
theboss kumbe ndo swaga izo za kumchana mwanaume hahahahahaha tobah nilikua newcomer maana mimi siku ikitokea kumpenda ntamchana live ntamwambia mie nimekumind waweza kuwa wangu hataki anapita hivi...................>
kumekuchekesha nini hapo honey? hahaaa
 
Last edited by a moderator:
theboss kumbe ndo swaga izo za kumchana mwanaume hahahahahaha tobah nilikua newcomer maana mimi siku ikitokea kumpenda ntamchana live ntamwambia mie nimekumind waweza kuwa wangu hataki anapita hivi...................>

mbon a nimesubiri uniambie naona waishia kutafuna kucha tu....
 
Tulia Kwanza. Endelea kugugumia tu mpaka akwambie. Uenda yeye Anaonesha upendo kwa nia tofaut kabisa na wala si ya mapenzi.

Gugumia Kwanza uendelee kumsoma.
 
thebosssweetie ujue mie nakupenda, plz bebe will you be mine? just give me chance and let me show you how much I love you lol kutongoza kipaji
Teh teh
mbon a nimesubiri uniambie naona waishia kutafuna kucha tu....
 
Last edited by a moderator:
dah.....wewe umezaliwa miaka ya sabini for sure...

kuna a lot of ways these days...

unaweza anza na 'morning dear' morning honey...hadi good night my love na sweet dreams babe...

sijui hata kutuma sms kama unajua

You made my day the bosss
 
usiwe na papara ukisema tu manjonjo yote yanaisha bora ukae kimya
 
Back
Top Bottom