Namuwaza sana, nifanyaje?

KENGE wew unaingia Jf juzi tu alafu husalimii wakubwa zako humu?

Hii midogo ya 2000 sijui imekuwaje, viburi na dhalau kwa watu wazima.

Oya dogo achana na mapenzi focus kwenye elimu, JF huku ni site ya madini ya kukusaidia uelimike uwe potential kwa taifa na sio kuja kujifunza mbinu za kuja kukuangamiza.

Kwa aina hii ya vijana, Taifa lina hasara sana, vijana wa namna hii hawanaga mchango wowote kwa Taifa.

Ningekujua ningekuadabisha kwa viboko
 
Nigga acha u jigga 😴😡
 
Ukosefu wa majukumu,ukikua utaacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…