Namuwaza sana, nifanyaje?

Umemaliza form 6 2022 af unajiita kidume?
Sema "kitoto"
Abput the girl, unamuwaza tu kwa sababu hujachambua papuchi zingine. Ukishakua mzoefu sokoni, utamsahau
Asante kwa ushauri mkuu
 
Inahusiana vipi na hapa sasa
 
Ukimaliza chuo utafamu namna ya kuikimbia hiyo scenario.
 
Mpaka mwezi wa kumi uje kufika ili vijana wasajiliwe kwenda kuanza masomo ya chuo kikuu cha moto tutakuwa tumekipata.
 
Anza kuchunguza anapatikana wapi ,ingia kwenye Fb mtafute.au tafuta Rafiki yake akupe Data

Hilo la kumtongoza/au kurudisha Ni Rahisi Sana ata Mimi naweza kusaidia bure kabisa usuri sipo mbali na mbeya yanazunguzika

Usije kufa kwa punyeto bure unapoteza nguvu nyingi + uwezo wa kufikiri

Alafu unahatari mtu yoyote akijilengesha,unaweza piga ukavuna Madhara makubwa
Au mwana utulie na wako
 
Kwa hyo ukaona mpwayungu village na yeye atakupa ushauri kabisa kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…