Ni maneno ya tafsida na hekima wachache wataelewa
Ametolewa jalalani?
Ni mzalendo anayetumikia Taifa kwa maslahi ya TaifaNi mchumia tumbo tu na hata huo uprofesa haendani na hadhi yake; mtu mzima anakubali kutukanwa hadharani na mdogo wake kwa sababu ya eti cheo; heshima iko wapi? Kuheshimiwa na Jamii yako ni bora kuliko cheo cha kudhalilishwa.
Wazalendo wanaotumikia Taifa hawaokotwi jalalani!!! Wanaokotwa jalalani ni watumwa kwa wale waliowaokota na ndio maana wanawatumia kama karatasi ya chooni!! Mtu na familia na heshima zake huwezi kustahimili kudhalilishwa hadharani kwa sababu ya cheo; ukirudi nyumbani kwako unawaambia nini familia yako?Ni mzalendo anayetumikia Taifa kwa maslahi ya Taifa