CHIEF MGALULA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,193
- 912
Nani alikuambia pikipiki alikua anaenda kuhonga? Unajuaje Kama pikipiki ilikua ni ahadi aliyoitoa kwa waananchi wake Ili kuwarahisishia kazi? Rushwa haitolewi kirahisi rahis hivyo Kama unavyodhani, hii ni awamu ya tano.Ule mkopo wa pikipiki ndio tatizo.
Kigwa ni mtu mzima sasa ameaminika kwa kupewa cheo cha juu,aache njaa hizi za aibu.
Ajiamini asihonge wajumbe.Kazi zake na kuwajibika kwake jimboni kumbebe asijidhalilishe kwa matajiri.
Bora angemkopa DAB.
Nakuunga mkono 100%The problem with the world is that intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are the one who lead the intelligence....
1.MO anawaaminisha kuwa Senzo sio kitu ila huyu dada
2.20b hazijulikani zinatoka lini ila kaanza kutoa grants.
Dewji linapokuja swala la 20b anakuwa mkalis sana hapa ndio panapo leta mashakaMi msikilizaji tu
Mo huko Simba ni biashara na maslahi binafsi. Kigwangala huko kwenye siasa ni biashara na maslahi binafsi. Wamekorofishana baada ya mmoja kutaka mkopo atoe rushwa na mwenzake akamnyima. Watanzania tumieni akili zenu. Hawa watu wasiwapotezee muda wenu. Mimi mambo ya Simba na Yanga, ya ushabiki nyumbu nilishaacha zamani sana enzi zile za Taifa Kubwa vs Umoja wa mataifa. Niliacha kwa sababu niligundua tulikuwa tunachezea akili na kuwa fursa za watu wengine.Hizo hisia zako Wale wana personal issue zao, wala usiwaze hivyo kigwangala ana ujinga mwingi sana kumbuka issue ya docta mwaka
Sawa hilo la pikipiki, tuliache kwani ulikuwa ni mkopo, hoja ni je hayo aliyoongea kigwangala, majibu yake yakoje? Usikimbie hoja, ni mambo muhimu sana kuyafahamu. Tatizo lenu mtu akihoji kitu badala ya kujibu hoja zake, mnaanza kumshambulia mtoa hoja!!Ule mkopo wa pikipiki ndio tatizo.
Kigwa ni mtu mzima sasa ameaminika kwa kupewa cheo cha juu,aache njaa hizi za aibu.
Ajiamini asihonge wajumbe.Kazi zake na kuwajibika kwake jimboni kumbebe asijidhalilishe kwa matajiri.
Bora angemkopa DAB.
Mh hamisi ni shabiki na mwanachama lialia wa simba ana haki ya kuhoji maendeleo ya club yake swala la ugomvi binafsi mo amekosa weledi kukopa siyo dhambi hajaomba msaadaWatu wana ugomvi wao personal wewe unaleta mambo ya ushabiki. . Baki huko huko
Aise hapana hata kwenyw ndo watu wana hojiTushawambia Simba acheni kelele.. Ukikubali olewa sharti ni kulala uchi.
Yananikela majibizano yao, Twitter imekuwa ya michambo ya kukopeshana bodaboda na matumizi ya 20blns.nmeamua kutoka
Kama watoto wa baba mmoja,wangeyaongelea nyumbani kwa baba yao.wote wanamakosa kimantikiAmin nakwambia hapo kila mtu anavutia upande wake lakn tukumbuke hao wote ni watoto wa baba mmoja lakin