Namuuliza status yake hasemi

Namuuliza status yake hasemi

Mkuu kwa maswali yako ya ajabu ajabu huyo akikubwaga sishangai
 
Hahaha duh watu mna majibu makali. Hivi mmenielewa? Nimesema kaniambia nikiforce game atanipiga chini.....mi sihitaji kujua sana kama yeye ni bikra au la! Lengo langu ni kwanini ananibania kwa muda mrefu....maana ni kawaida ya mabikra kubana bana.
Usiforce game ukiwa gentle enough utapewa game tena kirahis kua makin na the way unaongea nae na maswal maswal unayomuuliza maswal mengne yanakera steam zote zinakata
 
KE wachache sana utakaowauliza hilo na wakakujibu kiroho safi..


Potezea tu boss.
 
Back
Top Bottom