Namuuliza status yake hasemi

Namuuliza status yake hasemi

Sukari Yenu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
1,698
Reaction score
1,260
Wakuu habari zenu,

Niende kwenye mada moja kwa moja.

Kuna bint tumefahamiana muda kidogo. Nimevutiwa naye...
Ni msomi wa elimu ya juu shahada ya utabibu wa binadam yaani bado anasoma hapahapa mjini Daslam. Ni mtu wa dini sana na ananiinspire mimi pia. Umri wake ni 22 tu. Hatujawahi kufanya lolote la kumchukiza Mungu na hataki kusikia hata kidogo.

Huyu bint katika mazungumzo amenificha kama aliwahi kuwa na mtu kabla. Mimi binafsi niligundua mwenyewe kuna mtu walikua wanaitana babe babe kama mimi na yeye kwa sasa tunavyoitana.

Nishamuuliza mara nyingi kama yeye ni bikra hataki kusema. Swali, huyu anaweza kuwa bikra? Kwa maana yuko radhi kuvunja uhusiano na mimi kama nikiforce mchezo mchafu, alishaniambia. Yule jamaa wa mwanzo inawezekana waliachana kwa sababu hii? Maana huwa hapendi kuzungumzia suala hilo la huyo ez wake.
 
Wewe status yako ipi? Mbona nawewe hueleweki? Kuna haja ya ma status hapo?
 
Mpenzi mtazamaji....!

Na ukisha anza kuuliza maswali ya kitoto eti una bikra, eti uliwahi kuwa na mtu kabla....!! Ili iweje?? Stop childish questions

Acha hizo bla blaa nenda straight unachotaka, eleza lengo lako.
 
Upele umekupata usiye na kucha , ngoja wenye kucha waje wakune huo upele.
 
Mwanaume kamili huwa haulizi
1.una boyfriend? Na kwa nini uulize unamtaka had bf wake?
2.wewe ni bikra?let her decide ka she is/not
Hapo utanyimwa mpk ukome na kujuta.
 
Hahaha duh watu mna majibu makali. Hivi mmenielewa? Nimesema kaniambia nikiforce game atanipiga chini.....mi sihitaji kujua sana kama yeye ni bikra au la! Lengo langu ni kwanini ananibania kwa muda mrefu....maana ni kawaida ya mabikra kubana bana.
 
Hawa wadada wanaojidai walokole huwa wananifurahishaga sana,
hapo wewe endelea kuhudumia kwa kiroho hivyo hivyo mara paap unaskia anafunga ndoa roman katoliki au kkkt!
 
Wakuu habari zenu,

Niende kwenye mada moja kwa moja.

Kuna bint tumefahamiana muda kidogo. Nimevutiwa naye...
Ni msomi wa elimu ya juu shahada ya utabibu wa binadam yaani bado anasoma hapahapa mjini Daslam. Ni mtu wa dini sana na ananiinspire mimi pia. Umri wake ni 22 tu. Hatujawahi kufanya lolote la kumchukiza Mungu na hataki kusikia hata kidogo.

Huyu bint katika mazungumzo amenificha kama aliwahi kuwa na mtu kabla. Mimi binafsi niligundua mwenyewe kuna mtu walikua wanaitana babe babe kama mimi na yeye kwa sasa tunavyoitana.

Nishamuuliza mara nyingi kama yeye ni bikra hataki kusema. Swali, huyu anaweza kuwa bikra? Kwa maana yuko radhi kuvunja uhusiano na mimi kama nikiforce mchezo mchafu, alishaniambia. Yule jamaa wa mwanzo inawezekana waliachana kwa sababu hii? Maana huwa hapendi kuzungumzia suala hilo la huyo ez wake.
sasa wewe unataka kujua ubikira wake ili iweje,hivi umebalehe wewe?
 
Ndugu yangu ulifanya kosa kuubwa sana kumuuliza kama ni bikra, siku nyingine usirudie tena kwa demu mwingine
 
Mwanaume kamili huwa haulizi
1.una boyfriend? Na kwa nini uulize unamtaka had bf wake?
2.wewe ni bikra?let her decide ka she is/not
Hapo utanyimwa mpk ukome na kujuta.
Hahahaha mi ntafanya yangu tu.....huwa sishindwi mapema
 
Back
Top Bottom