Mzalendo wa ukweli
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 559
- 149
Nina miaka 28 sasa, nimesoma mpaka chuo kikuu na shahada ya Business Administration nimeshuhudia jinsi marafiki zangu walivyowakimbilia kina dada wa chuo eti uchumba wakati tunasoma na wengi wao waliishia kubwaga, hali hi ilinikatisha tamaa kabisa na niliapa sitokaa nioe mwanamke alosoma.
sasa imetokea kumpenda dada aliye na watoto 3 aliachika kwa mmewe ananipenda ajabu nami nampenda zaidi, anataka nimuoe, kweli nampenda lakini najiuliza jamii na familia yangu watanielewaje? naomba ushauri wana JF
Kwani wao ndio wanaooa
Si wewe na moyo wako mmeamua na mmependana
Isitoshe wewe ndo utakayekuwa na maamuzi juu ya hao watoto wa mke wako kama utakaa nao au utafanyaje ni wewe
Wewe fanya maamuzi yako na huyo mke wako mtarajiwa na maamuzi yenu naamini hata wazazi watayaheshimu
(Mhhh sijui ni mimi au kuna mtu kaiba password yangu)
http://Lisa ya moyoni haya? yaaaaaaaaaaaaani amefungwa 3 bila dk ya 85 ndio anamwingiza uwanjani mchezaji mahiri, hapa sishauri hata kidogo.
kuliko ununue mti mche uoteshe upalilie hadi uzae matunda sio leo wala kesho.
bora uchukue huo mti ambao ushazaa matunda kabisa
fata moyo wako!
kuna mtu kaiba password yako aiseee........
hapo pagumu mwenzangu watalaka wameachana vipi
je ndoa yao ilikuwaje mtalaka hataleta fujo
je akitaka kuja kuwaona watoto masondi atakuwa tayari kumruhusu
huyo dada yupo tayari kwenda kwenye ndoa nyingine au kwa vile wameachana anatafuta pakujishikiza
mleta mada jaribu kuongea na mkeo mtarajiwa kuhusu malezi ya watoto naona itakuja kuwa tatizo huko mbeleni.......au la tumia msemo ukipenda boga penda na ua lake
Blaki Womani kuna mtu kaiba aise siwezi kucomment hivyo
hapo pagumu sana kwa mwowaji aise na haswa kwa wale watoto na sijui na kama yeye yuko tayari kulea watoto wa mwenzake au ndio kapenda boga na ua lake
Nina miaka 28 sasa, nimesoma mpaka chuo kikuu na shahada ya Business Administration nimeshuhudia jinsi marafiki zangu walivyowakimbilia kina dada wa chuo eti uchumba wakati tunasoma na wengi wao waliishia kubwaga, hali hi ilinikatisha tamaa kabisa na niliapa sitokaa nioe mwanamke alosoma.
sasa imetokea kumpenda dada aliye na watoto 3 aliachika kwa mmewe ananipenda ajabu nami nampenda zaidi, anataka nimuoe, kweli nampenda lakini najiuliza jamii na familia yangu watanielewaje? naomba ushauri wana JF
kuliko ununue mti mche uoteshe upalilie hadi uzae matunda sio leo wala kesho.
bora uchukue huo mti ambao ushazaa matunda kabisa
fata moyo wako!
kwa hiyo mwanamke aliyezaa ni mzoga? kumbuka una dada, shangazi na mama, pia weote ni wanawake!
Je ! labda huyo mwanamke aliyena na hao watoto , akaachika na amepata wa kupendana naye ni dada yako, halafu watu wakamwita mzoga utajisikiaje? Tafadhali usipende kutumia maneno kama hayo kwa wanawake .
Nina miaka 28 sasa, nimesoma mpaka chuo kikuu na shahada ya Business Administration nimeshuhudia jinsi marafiki zangu walivyowakimbilia kina dada wa chuo eti uchumba wakati tunasoma na wengi wao waliishia kubwaga, hali hi ilinikatisha tamaa kabisa na niliapa sitokaa nioe mwanamke alosoma.
sasa imetokea kumpenda dada aliye na watoto 3 aliachika kwa mmewe ananipenda ajabu nami nampenda zaidi, anataka nimuoe, kweli nampenda lakini najiuliza jamii na familia yangu watanielewaje? naomba ushauri wana JF
ndugu wote tunakula mizoga kama ulikua hujui, issue ni kwamba hujui fisi yupi ndo alie uacha huo mzog baada ya kuula...word to the brother..ebana kwahiyo unaona bora uzifiche insecurities zako za kua na mwanamke aliye soma ambae ni kijana mwenzio..na kuamua kubaki kwenye comfort zone za huyo mmama mwenye watoto wa tatu? nigga get off ur comfort zone rn go get yourself a life = decent girl hata kama amesoma acha uoga wewe...daaah..get a life brother namna gani hii wewe unafanya enh?..ova..Duuh simba hali ambacho hajakichinja yeye, sasa ndugu kidume, rijari ingia mawindoni usake chako, sio unasubiri vilivyoachwa na wanaume wenzio, usiwe kama fisi anayekula mizoga