hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,365
- 80,253
Wew hujui ki ele ele cha moyoHahaaa.. sio mume wa mtu bali ana mke na watoto pia na wadogo zake wana muita kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Subir nilale alf ksh ntkwambia ulivyo na utam wakoMoyo wangu ushajiweka hapo unasubiri kuungana na wako...usisahau kuniota sasa
Khaa ebu jibu kwanza huo ujumbe wa juu kabla ya Asprin kisha twende sawa.
Mi nafanya kweli,wewe si ndio hunitakagi[\b]
Khaa... kumbe ndivyo mambo yalivyo mama!
kuanzia leo nimeacha kukimbiakimbi [emoji7]
Hata sikujua kama ishapita wewe ndiye umenikumbusha.Baada ya valentine ndio mambo yako hivi [emoji17]
Hata sikujua kama ishapita wewe ndiye umenikumbusha.
Hapo nilikuwa namtaniaUmeanza lini kunitenga?
Ameshapata kaya umuache sasa.Umeanza lini kunitenga?
Hahaha.. ila juzi nilikuuliza kwa maksudi. Utakumbuka ulivyonijibu.