Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,116
- 6,874
atafte vp wakat mme wa mtu?!!Siku ukipata mwanamke hizo mambo zitaisha.
Na ujitahidi utafute grade bora kumpita. Vinginevyo utaendelea kumwaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
atafte vp wakat mme wa mtu?!!Siku ukipata mwanamke hizo mambo zitaisha.
Na ujitahidi utafute grade bora kumpita. Vinginevyo utaendelea kumwaza.
Baba ake aliamishwa kikaz na kule sio kwaoNenda kwao ukamtafute,kule mlipokuwa mkisoma shule ya msingi
Nshapigaga sanamzeeOoh, kumbe alishaoa!
Sikupaona hapo, kosa lilifanyika hapo. Kabla ya kuoa alitakiwa akichafue kuhakikisha anamfuta Rehema kwanza. Na alitakiwa atafute mke ambaye ni upgrade ya Rehema.
Kashazingua.
Yuko mbaliBasi umeamua kujiendekeza, mke unaishi naye au yuko mbali?
Kama uko siriazi unaweza kumpata au kupata taarifa zake,kwa kutembelea alipokuwa anafanya kazi mzazi wake n.k hebu andika jina la huyo binti full kwenye google,ujaribu kutafuta
Aisee najiuliza sanaKuna uwezekano ukikutana na huyu binti unaweza kuvunja ndoa yako;kwa ushauri,usimtafute kwa sababu upande mwingine utateseka.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kubwa jinga, kweli ww Juma Maharage, yani una miaka 57 bado unateswa na mapenzi ya utotoni?
View attachment 1027580
Labda umkute na yeye ameolewa,tofauti na hapo familia yako utaiharibu.
Akiolewa ndo itakuajeLabda umkute na yeye ameolewa,tofauti na hapo familia yako utaiharibu.
Kwake itakuwa ni vigumu kuiacha familia yake
Huu utakuwa umri wa jfKubwa jinga, kweli ww Juma Maharage, yani una miaka 57 bado unateswa na mapenzi ya utotoni?
View attachment 1027580
Wandugu
Naonbeni maoni yenu jaman maana sasa too much ,kuna binti nilisoma nae primary anaitwa Rehema uyu binti kiukwel alikuwa akinivutia sana hata mara kwa mara nilikuwa siachi kufika shule maana nilikuwa napenda kumuona
Kweli Rehema alikuwa mzur kwangu mim japo wengine walimwona wa kawaida,tulivyofika darasa la 5 nilijitahidi sana kumuandkia barua mbalimbali lkn hakuchukulia serious , kiukwel nilishindw kabsa kumtongoza ana kwa ana kwa kuwa nilishindw hata kutoa neno kuna siku moja Stanley alinikutannisha nae makusudi lakin nilishindwa aliiishia kunicheka sana,tukamaliza primary yeye akaenda kusoma mbali na mim kwa kuwa mzee wake alikuwa anfnya kaz TRA akampelek private mi nkabki government hyo ilikuwa 2006
Sasa imepita takribani miaka 13 sijui Rehema yuko wapi nilskia alikwama kidogo Form 4 ila alibahatik kusawazisha akamalza form 6 na kwenda NIT
Jaman katika kipindi cha miaka 13 kila mwez lazima nimuote Rehema inafika kipindi nkiota nilipoishia bas kesho naendeleza apo apo,niliwahi mshirikisha rafki yngu edo lakin zile ndoto haziishi ,mim kwa sasa na mke lakin bado namuota huyu binti nifanyaje maana boxer zinachafuka kila siku mpka mwenzangu anachkia ila hawez niambia
Rehema rehema mpka Lin?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aje hapa kutolea ufafanuzi huu utata wa umrikwa hiyo alikuwa primary akiwa na miaka 40+
Hii dunia ina maajabu jaman[emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo tunachora tu sasa kwa ulivyosoma unafikili kafikisha kweliKubwa jinga, kweli ww Juma Maharage, yani una miaka 57 bado unateswa na mapenzi ya utotoni?
View attachment 1027580