Ahsante mkuuUshauri mtafute Rehema tu moyo wako upo kwake koz una jaribu kuuficha moyo wako ila ndoto zina kuumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuota pia.Doh!
Huyu naye mume wa mtu eti...kuna mtu anakuita 'mume wanguuuuu' kwa shangwe kabisa
Aibu nimeona mie Rehema
Na egeshaKwa iyo unataka kutuambia uyo mke wako sio chaguo lako sahihi na wala hakuridhishi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuota pia.
Mhmh ngoja ntakuota na ww nione kuna uvuvioHata mie nakuota tangu kipindi kile tuko darasa la pili
HahaaaKubwa jinga, kweli ww Juma Maharage, yani una miaka 57 bado unateswa na mapenzi ya utotoni?
View attachment 1027580
Hahaaa.. sio mume wa mtu bali ana mke na watoto pia na wadogo zake wana muita kakaDoh!
Huyu naye mume wa mtu eti...kuna mtu anakuita 'mume wanguuuuu' kwa shangwe kabisa
Aibu nimeona mie Rehema
Hahaaa.. sio mume wa mtu bali ana mke na watoto pia na wadogo zake wana muita kaka
Sent using Jamii Forums mobile app