namuonea huruma wifi yangu

waleoleo

Member
Jun 18, 2012
53
17
kaka yangu ni player kwa kutupwa wifi akisafiri anateta wanawake hadi ndani, mkewe ana nyodo sana anajifanya mjuaji anadharau na hapendi kuongea. Mungu anisamehe sometimes nataman kumwambia uplayer wa mumewe but nahisi ntavunja ndoa yao ingawa roho nyingine inaniambia yeye si anajiona matawi mwache atendeke. Jaman what is the right thing to do?
 
acha kutoa siri za wanaume,
mbona mume wako kila kukicha namuaona na sungura matope kwenye guest house.
 
asante nafikir kwa the best pia, ila ukimsikia mwenyewe anasema hamna kama mumewe sikuzote yupo home mapema na hawezi zungusha nnje
 
Ukimweleza kisha wakaachana utakuwa tayari kumtimizia kakako mahitaji yake yote?

kwa kifupi dunia ya asahivi imechafuka watu tunaficha uongo kwa uongo mwingine Kumtimizia kaka yangu haiwezekan labda kama kikwenu ruksa kwetu mwiko
 
Unamatatizo wewe. Embu kaa tafakari maisha yako! Ungekua una nia nzuri ungefikiria kumuonya kaka ako ila nahisi una kawivu flani na wifi ako.
 
kaka yangu ni player kwa kutupwa wifi akisafiri anateta wanawake hadi ndani, mkewe ana nyodo sana anajifanya mjuaji anadharau na hapendi kuongea. Mungu anisamehe sometimes nataman kumwambia uplayer wa mumewe but nahisi ntavunja ndoa yao ingawa roho nyingine inaniambia yeye si anajiona matawi mwache atendeke. Jaman what is the right thing to do?
Za mwizi arobaini atadakwa tu karibuni!!
 
"yeye si anajiona matawi..."

Roho mbaya itakuua bro karithi kwa baba yenu so muambie maza kwanza then wifi ili wajue jinsi ya kufanya maana wote wahanga
 
kaka yangu ni player kwa kutupwa wifi akisafiri anateta wanawake hadi ndani, mkewe ana nyodo sana anajifanya mjuaji anadharau na hapendi kuongea. Mungu anisamehe sometimes nataman kumwambia uplayer wa mumewe but nahisi ntavunja ndoa yao ingawa roho nyingine inaniambia yeye si anajiona matawi mwache atendeke. Jaman what is the right thing to do?
Hawezi kutendeka kwasababu hafahamu kitu....

Upowapi na mimi sijaoa na sina tabia kama za kaka ako.... njoo nikung'ate sikio chemba
 
Ni vyema ukaongea na ndugu yako imagine kama ungekua wewe unatendewa hivyo ungejikiaje....
 
"yeye si anajiona matawi..."

Roho mbaya itakuua bro karithi kwa baba yenu so muambie maza kwanza then wifi ili wajue jinsi ya kufanya maana wote wahanga

my dia ungeishi nae ungeelewa nin nasema, kunaushauri naweza ufanyia kazi thanks anyways
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom