Zawadi ni zawadi. Kwenye mapenzi zawadi ni vikorombwezo tu. Huwezi kumshauri mwenzio aachane na mpenzi wake kisa zawadi aliyopewa! But kama huyo ni mwanaume wake as the title sayz, nakubaliana na wewe kabisa, mshikadau inabid awe anatoa angalau zawadi kama ki vitz! Kama hawezi ampigwe chini atafutwe mwingine!Yaani Dunia ya Leo zawadi kanga nimemwambie amrudishie na ampige kibuti
yaani ubuege gani ?? uonge vitz kwa sababu ya K? kwa lipi hasa? hiyo K inapiga mziki? ina ndimu na pilipili? ndio mana sie wengine timeone bora tuwekeze tbl..upuzi at best..Zawadi ni zawadi. Kwenye mapenzi zawadi ni vikorombwezo tu. Huwezi kumshauri mwenzio aachane na mpenzi wake kisa zawadi aliyopewa! But kama huyo ni "mwanaume wake" as the title sayz, nakubaliana na wewe kabisa, mshikadau inabid awe anatoa angalau zawadi kama ki vitz! Kama hawezi ampigwe chini atafutwe mwingine!
Yaani Dunia ya Leo zawadi kanga nimemwambie amrudishie na ampige kibuti
yaani ubuege gani ?? uonge vitz kwa sababu ya K? kwa lipi hasa? hiyo K inapiga mziki? ina ndimu na pilipili? ndio mana sie wengine timeone bora tuwekeze tbl..upuzi at best..
Lol Hapo hakuna penzi ni kuchuna tu! Ulitegemea apewe nini? Mhh then unawaeleza wanajamvi
jinsi ulivyosikitika!
Seconded mkuu!
Unawekeza TBL mtimanyongo ukikushuka unakamata baamedi, buku tano tu unamtoa.
Hii siyo karne ya kuhongea K wakati zimejaa tele mtaani free of charge.
kupewa kitu,hiyo ni zawadi tosha,haijalishi hicho kitu kina thamani gani.uachane na mtu kwa kuwa kakupa kitenge?ha i make sense.mambo ya kutegemea mambo makubwa kwa mwenzako haifai.tafuta kwa nguvu zako.
Seconded mkuu!
Unawekeza TBL mtimanyongo ukikushuka unakamata baamedi, buku tano tu unamtoa.
Hii siyo karne ya kuhongea K wakati zimejaa tele mtaani free of charge.
teh teh..
sio bamedi 2, pia kuna wachoma vitumbua, wadada wa saluni, mama lishe, watoto wa shule na wa vyuo, wote pia wanazo..
matter of fact, kuna over 3 billion K's under the sun, sasa ningefurahi kujua hiyo K ya kuongewa vitz ina accessories zipi? je, ni customizable? lol