Namuonea huruma cousin mwanamume wake kampa zawadi ya kitenge

yaani dunia ya leo zawadi kanga nimemwambie amrudishie na ampige kibuti

natalia mpenzi,
naomba nikusaidie uelewa kidogo kuhusu maana ya zawadi na hasa katika mahusiano ya mapenzi.

zawadi ni jinsi au njia ya kuonyesha kuguswa na thamani ya umpendaye na kumpatia kitu ambacho unaamini katika matumizi yake ataendelea kukukumbuka na kulienzi penzi/pendo lako la thamani kwake... Zawadi ya aina yoyote na thamani yoyote hutosha kufikisha ujumbe huo mzito kwa mwenza aliyepewa zawadi hiyo.

Zawadi nzuri katika mapenzi ni zile zinazogusa maisha ya mwenza wako ikiwezekana kila siku ili azidi kukuweka moyoni mwake na kulithamin penzi la aliyempatia zawadi hiyo.

Zipo pia zawadi ndogondogo zinazoweza kumgusa muhusika kwa muda mfupi tu..say tunda kama apple, ice cream, chocolate dinner ya pamoja etc.

Zipo zawadi ndogo pia ila zaweza kumgusa muhusika kwa muda mrefu. Eg. Taulo la kuogea, khanga, kitenge, chupi, miwani, perfumes, mswaki, simu za mkononi, viatu, handkerchief, pen, make-up set na nyinginezo chungu nzima.

Zawadi huwa na thamani pia ikilinganishwa na umbali au hata juhudi zilizotumika kuipata zawadi hiyo..say umerudi toka safari nchini congo ukaleta kitenge, umefanya kazi kwa muda mrefu na kurudi na zawadi kwa pesa uliyoitumia kununulia zawadi imetokana na extra efforts.

Zawadi za vitu kama pesa hata iwe ni mamilioni ya pesa huwa vinasahaulika kwa haraka sana kwa muhusika kwa vile hujikuta akitumia kwa matumizi anayoona yeye ni ya kawaida ikilinganishwa na kitu kidogo alicholetewa na mpenziwe.

Natumai nimekusaidia katika somo hili dogo...naomba pia usijaribu kuuvunja uhusiano wa cousin wako.
 
Huyo jamaa anazeeka vibaya, kizazi cha sasa unamzawadia mke khanga???
shule bado ni muhimu sana, kuna zawadi nzuri nyingi lakini sidhani kama khanga inafaa...............
sishauri kibuti kwani JAMAA HAJUI KWAMBA HAJUI

we ulitaka amzawadie DUNIA?
kwani kizazi cha sasa mna K za gold?
 
Huyo jamaa anazeeka vibaya, kizazi cha sasa unamzawadia mke khanga???
shule bado ni muhimu sana, kuna zawadi nzuri nyingi lakini sidhani kama khanga inafaa...............
sishauri kibuti kwani JAMAA HAJUI KWAMBA HAJUI
Kwani kizazi cha sasa wanawake wanavaa nepi badala ya kanga????


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwani kizazi cha sasa wanawake wanavaa nepi badala ya kanga????


Changes are inevitable, whether yo believe or not, i do not care, Khanga for what purposes,
i don't need yo profile, how yo act tell me who you are.
 
we ulitaka amzawadie DUNIA?
kwani kizazi cha sasa mna K za gold?

yo hv poured the scorn upon me, am a man!
ukitaka kufanya kitu fanya kieleweke, unaweza kununua zawadi ndogo sana lakini ikawa nzuri kuliko pambaa hiyo.
any way,
i know yo do not want to change until the cost of changing reach to the maximum.
 
Huyo jamaa anazeeka vibaya, kizazi cha sasa unamzawadia mke khanga???
shule bado ni muhimu sana, kuna zawadi nzuri nyingi lakini sidhani kama khanga inafaa...............
sishauri kibuti kwani JAMAA HAJUI KWAMBA HAJUI

inategemea na vitu vingi sana:
inawezekana jamaa kapita njiani kaona kitenge/khanga kaamua kumnunulia bila any force behind.
pia uwezijua mfuko wa jamaa labda kutoa iyo pesa ya khanga ndio kitu cha thaman sana kwake.
uyo mwanamke inategemea na yeye je anatoaga nini kwa jamaa.

kwa mfano wewe ungemzawadia nini labda?
 
Its better to live with no expectation to avoid disappointment,ss kama alitegemea makubwa kwa huyo mtu ndo ajibebe but kama angemchukulia poa from the beginin mbona hata hiyo angeiona ni zawadi tu kama zawadi nyngne?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom