Namuona PM Kassim Majaliwa mbali sana

Namuona PM Kassim Majaliwa mbali sana

Wasaalam ndugu wana Jamhuri ya JF.

Nawapenda sana ndugu zangu pamoja na Mara kadhaa kupishana kimisimamo na kiitikadi lakini ni Imani yangu Tungali na Umoja na Mshikamo Mkubwa Baina yetu tena Mkubwa sana, ni wachache wanaotaka kuturudisha Nyuma lakini abadani Tutasonga Mbele.

Leo na Mimi naomba niwajuze ndugu zangu juu ya ndugu Waziri Mkuu wetu Bwana KASSIM MAJALIWA KASSIM. Huyu Bwana kwa jicho la pili namuona mbali sana kwenye duru za kisiasa hasa Uongozi wa juu kabisa wa Nchi yetu kwa badae.

Kwa nini nasema hivyo ni kwa sababu hizi:

Ni kiongozi mwenye misimamo thabiti na isiyoyumbishwa kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Sijawahi kuwa nae kwa ukaribu wala hanijui ila ni imani yangu walio karibu nae ni mashahidi wa hili.

Ni Kiongozi mwenye uono wa kiutendaji zaidi na kiuwajibikaji zaidi kuliko maneno maneno yasiyo na vitendo kama ilivyo kwa baadhi ya watendaji ndani ya Uongozi wa Kiserikari.

Na mwisho ila sio Tamati ni Kiongozi Jasiri, shupavu na thabiti katika kutekeleza Adhima ya Serikari katika kuboresha mifumo ya kiuongozi na Thabiti katika kusimamia rasilimali za Taifa Hili kwa ufanisi usio na shaka.

Natambua kwa wapigaji, wenye maono ya kibinafsi na wasiopenda kua katika mstari ulionyooka hawatakubaliana nami na itakua sio maono mazuri Kwao ila ukweli usio na shaka ni kweli kama Taifa ili Tuendelee tunahitaji kiongozi Msimamizi, Mfatiliaji, na Mwajibishaji huku akizingatia mahitaji ya wananchi kwa Usawa na Haki.

Mama yetu Samia Suluhu Hassan Binafsi ninakupenda natambua wewe unajua zaidi ila kua Karibu na Mtendaji Wako Mkuu wa Shughuli za Kiserikari ni Imani yangu Atakusaidia Pakubwa kutekeleza maono uliyonayo.

Mawazo ya Mungu si sawa na ya Mwanadamu. Ila ni Imani yangu Ana kitu cha kipekee sana. Niwatakie usiku Mwema Wapambanaji.
Aaaaaaaaaaaaa!!!!.....aliewaongopea wananchi kwamba JPM ni mzima na anchapa kazi wkati mzee etu yuko hoi 😆😆😆😆😆
 
Kimaadili KM siyo mtu sahihi.

Huwezi kuwa muongo consistently for five years kama siyo tabia yako ya asili.
 
Sjawahi muelewa huyo jamaa aitwaye majaliwa

Hana mvuto ksiasa na watz weng hawamjui ila anabebwa na kuwa pm tu iktokea amechomolewa kwny u pm hana jipya hata kwa january makamba uyo majaliwa hawez pambana nae
kifupi ccm mataga mpk dk hii sjaona kada wa kupambana na chadema 2025 hawana kbs mtu wa kupambana na lissu

Magu ye hlo alilijua mapema tokea 2015 akaamua kutumia mabavu ili angalau ccm wapumue kdogo na walipumua sn lakn kilchowakuta kwny kampen 2020 hawatasahau kbs maana hawakutegemea.

Time will tell lakn 2025 ccm hawana kada wa kupambana na chadema
 
Akina Mama wa kiswahili kote Duniani. na mtu mwenye rangi rangi km nyeupenyeupe hivi!! Au tuseme sijui

sijui watu wenye rangi ya maji ya kunde hivi km ya muhesh. Majaliwa zeruzeru hivi mnawaua lkn kina dada wanalia sana na zinawakosha kweli Wakiwaangaliaga tu hivi wanalowa!!chapachapa!

Unaweza gonga mtaa mzima ukiwajulia sijui kuna nini ktk hizi rangi rangi. Zinasumbua sana mtaani.

Mswahili na rangi nyeupe sawa na chatu kwa mbwa. Mbwa kamwe hachomoi ataliwa tu.

Tangu Misri babu zetu waliitosa nchi ya asili yetu waafrica Misri kwa Magiriki weupe kina alexander kirahisi mno.ajili ya weupe.mpaka leo baadhi ya makabira km msukuma.mkurya na rangi nyeupe utamuua tu. Bila shaka mleta mada ana asili hiyo.

So Wakaoa na kuolewa na weupe Mpaka leo humu Jf. Robo tatu yenu. Mnajua ile kizazo ni ya (machotara) waarabu.
Ajabu mpaka leo. Bado imo damuni! Haitokiii Mfano jk ni kina mama walimlilia.na walivo wengi si kapita!!

Walikuwa wanajaa ikulu usipime ke wengiiii.
Wababa wamama Ukizaa kijana wa kiume mweupe.
nakuhakikishia kesi kwako haziishi. Mara kanishika ziwa.mara kankonyezaaa heee!! Ili mradi tuuu!! Ajue kuwa umejua kijana wako anamtaka.
Kosa mama akiwa na hela!! Halafu awe beneti hee!! ataona vituko mpaka ajambe.ndo km hivi kwa muh.Majaliwa. Ni mtendaji wa kawaida tu.

lkn kaugonjwa ka kina Mama Ambao ndo wapiga kura wengi kanampaisha.na huwambii kitu wale wakipenda..heee!! Wameanza mapemaa kampeni wee subiri.
 
Wasaalam ndugu wana Jamhuri ya JF.

Nawapenda sana ndugu zangu pamoja na Mara kadhaa kupishana kimisimamo na kiitikadi lakini ni Imani yangu Tungali na Umoja na Mshikamo Mkubwa Baina yetu tena Mkubwa sana, ni wachache wanaotaka kuturudisha Nyuma lakini abadani Tutasonga Mbele.

Leo na Mimi naomba niwajuze ndugu zangu juu ya ndugu Waziri Mkuu wetu Bwana KASSIM MAJALIWA KASSIM. Huyu Bwana kwa jicho la pili namuona mbali sana kwenye duru za kisiasa hasa Uongozi wa juu kabisa wa Nchi yetu kwa badae.

Kwa nini nasema hivyo ni kwa sababu hizi:

Ni kiongozi mwenye misimamo thabiti na isiyoyumbishwa kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Sijawahi kuwa nae kwa ukaribu wala hanijui ila ni imani yangu walio karibu nae ni mashahidi wa hili.

Ni Kiongozi mwenye uono wa kiutendaji zaidi na kiuwajibikaji zaidi kuliko maneno maneno yasiyo na vitendo kama ilivyo kwa baadhi ya watendaji ndani ya Uongozi wa Kiserikari.

Na mwisho ila sio Tamati ni Kiongozi Jasiri, shupavu na thabiti katika kutekeleza Adhima ya Serikari katika kuboresha mifumo ya kiuongozi na Thabiti katika kusimamia rasilimali za Taifa Hili kwa ufanisi usio na shaka.

Natambua kwa wapigaji, wenye maono ya kibinafsi na wasiopenda kua katika mstari ulionyooka hawatakubaliana nami na itakua sio maono mazuri Kwao ila ukweli usio na shaka ni kweli kama Taifa ili Tuendelee tunahitaji kiongozi Msimamizi, Mfatiliaji, na Mwajibishaji huku akizingatia mahitaji ya wananchi kwa Usawa na Haki.

Mama yetu Samia Suluhu Hassan Binafsi ninakupenda natambua wewe unajua zaidi ila kua Karibu na Mtendaji Wako Mkuu wa Shughuli za Kiserikari ni Imani yangu Atakusaidia Pakubwa kutekeleza maono uliyonayo.

Mawazo ya Mungu si sawa na ya Mwanadamu. Ila ni Imani yangu Ana kitu cha kipekee sana. Niwatakie usiku Mwema Wapambanaji.
Mmeanza
 
Jaman mbona upm ni nafasi ya juu kabisa!?Mnamtakia nin katelefone wa watu?Hiyo nafasi mnayomuombea hiyo corona nje nje hapo pana mtosha.Halafu hamja note tu ukishakuwa pm urais redion
 
Huyo mbona alishauriwa kujiuzulu kupisha rais mpya kuunda baraza lake la mawaziri akala kubwa, juzi hapa ripoti ya CAG ilionyesha uozo mkubwa wa ufisadi na matumizi mabaya ya pesa za umma, lakini bado tunamwona anadunda......."Eti ni Kiongozi mwenye uono wa kiutendaji zaidi na kiuwajibikaji zaidi kuliko maneno maneno yasiyo na vitendo kama ilivyo kwa baadhi ya watendaji ndani ya Uongozi wa Kiserikari" atakuwa amekutuma wewe siyo bure....
 
Wasaalam ndugu wana Jamhuri ya JF.

Nawapenda sana ndugu zangu pamoja na Mara kadhaa kupishana kimisimamo na kiitikadi lakini ni Imani yangu Tungali na Umoja na Mshikamo Mkubwa Baina yetu tena Mkubwa sana, ni wachache wanaotaka kuturudisha Nyuma lakini abadani Tutasonga Mbele.

Leo na Mimi naomba niwajuze ndugu zangu juu ya ndugu Waziri Mkuu wetu Bwana KASSIM MAJALIWA KASSIM. Huyu Bwana kwa jicho la pili namuona mbali sana kwenye duru za kisiasa hasa Uongozi wa juu kabisa wa Nchi yetu kwa badae.

Kwa nini nasema hivyo ni kwa sababu hizi:

Ni kiongozi mwenye misimamo thabiti na isiyoyumbishwa kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Sijawahi kuwa nae kwa ukaribu wala hanijui ila ni imani yangu walio karibu nae ni mashahidi wa hili.

Ni Kiongozi mwenye uono wa kiutendaji zaidi na kiuwajibikaji zaidi kuliko maneno maneno yasiyo na vitendo kama ilivyo kwa baadhi ya watendaji ndani ya Uongozi wa Kiserikari.

Na mwisho ila sio Tamati ni Kiongozi Jasiri, shupavu na thabiti katika kutekeleza Adhima ya Serikari katika kuboresha mifumo ya kiuongozi na Thabiti katika kusimamia rasilimali za Taifa Hili kwa ufanisi usio na shaka.

Natambua kwa wapigaji, wenye maono ya kibinafsi na wasiopenda kua katika mstari ulionyooka hawatakubaliana nami na itakua sio maono mazuri Kwao ila ukweli usio na shaka ni kweli kama Taifa ili Tuendelee tunahitaji kiongozi Msimamizi, Mfatiliaji, na Mwajibishaji huku akizingatia mahitaji ya wananchi kwa Usawa na Haki.

Mama yetu Samia Suluhu Hassan Binafsi ninakupenda natambua wewe unajua zaidi ila kua Karibu na Mtendaji Wako Mkuu wa Shughuli za Kiserikari ni Imani yangu Atakusaidia Pakubwa kutekeleza maono uliyonayo.

Mawazo ya Mungu si sawa na ya Mwanadamu. Ila ni Imani yangu Ana kitu cha kipekee sana. Niwatakie usiku Mwema Wapambanaji.
Umetumwa !!??
 
sijui kama MATAGA wana roho ya msamaha kama Mbowe.
 
ajiuzulu maana kashiriki maujinga yote
 
Back
Top Bottom