Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,048
- 144,454
Aibu aliyoipata mzee Malecela kwa kuangushwa na kijana mdogo,Livingstone Lusinde, katika kinyang'anyiro cha ubunge wa Jimbo la Mtera, ndio aibu itakayoenda kumpata mzee Wassira kwa kuangushwa na Easter Bulaya katika kinyang'anyiro cha ubunge wa Jimbo la Bunda mjini katika uchaguzi wa mwezi Oktoba.
Mzee Wassira nakushauri ujitoe mapema maana hata goli la mkono wakati mwingine hutegemea na kura mtu anazopata kulinganisha na mpinzani wake.
Gap likiuwa kubwa mno,kuchakachukua kuna taka moyo sana kama ilivyo kujaribu kuzuia mafuriko kwa mkono.
Isitoshe,kama ni kuchakachua,mwaka huu inabidi mjipange sana na hakika hamtafanikiwa kamwe.