Namuona mzee Wassira kama mzee Malecela na kamanda Bulaya kama Kibajaji

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,993
144,329
Aibu aliyoipata mzee Malecela kwa kuangushwa na kijana mdogo,Livingstone Lusinde, katika kinyang'anyiro cha ubunge wa Jimbo la Mtera, ndio aibu itakayoenda kumpata mzee Wassira kwa kuangushwa na Easter Bulaya katika kinyang'anyiro cha ubunge wa Jimbo la Bunda mjini katika uchaguzi wa mwezi Oktoba.

Mzee Wassira nakushauri ujitoe mapema maana hata goli la mkono wakati mwingine hutegemea na kura mtu anazopata kulinganisha na mpinzani wake.

Gap likiuwa kubwa mno,kuchakachukua kuna taka moyo sana kama ilivyo kujaribu kuzuia mafuriko kwa mkono.

Isitoshe,kama ni kuchakachua,mwaka huu inabidi mjipange sana na hakika hamtafanikiwa kamwe.
 
Huyu mzee aliyesema CHADEMA inaenda kufa, atashuhudia atakavyotoweshwa na Esther na hatimaye ndiye kifo chake kisiasa.
 
Hivi Wassira amechukua fomu ya kugombea tena? kama itakuwa hivyo yaani anataka na hii awamu ya 5 awe YUPO, WANA wana Bunda mtakuwa watu wa ajabu sana kama mtamchagua mtu huyu
 
Bunda Mjini 2015 ni Kamanda Ester Bulaya
chaguo la wana Bunda kwa maendeleo ya kweli
na hukakika mabadiliko ya ukweli October 25 kura
yako Ukawa√ ✌✌👊👊usifanye kosa ESTER
BULAYA TUMAINI JIPYA KWA WATANZANIA
WALIOPIGIKA NA SERIKALI YA CCM,KIJANA NI
ZAMU YAKO MWAKA HUU USIFANYE
KOSA......TUNAIONA TANZANIA MPYA 2015😀
😀😀✌✌👊👊
 
Attachments

  • 1440660703675.jpg
    1440660703675.jpg
    76.7 KB · Views: 929
Wasira wanaichi wanaamini utendaji wake uliotukuka,na mwanaichi wa kawaida bunda mjini tayari anajua mbunge wake mteule Wasira.

Hakuna mwananchi wa bunda anayeweza kumchagua wasira,mbunge wa kwenda kulala usingizi bungeni hata sisi wanachama wa ccm tumeamua tumchague binti Bulaya
 
Bunda Mjini 2015 ni Kamanda Ester Bulaya
chaguo la wana Bunda kwa maendeleo ya kweli
na hukakika mabadiliko ya ukweli October 25 kura
yako Ukawa√ ✌✌👊👊usifanye kosa ESTER
BULAYA TUMAINI JIPYA KWA WATANZANIA
WALIOPIGIKA NA SERIKALI YA CCM,KIJANA NI
ZAMU YAKO MWAKA HUU USIFANYE
KOSA......TUNAIONA TANZANIA MPYA 2015😀
😀😀✌✌👊👊

Tuna muamini huyu binti atatusaidia kutuletea maendeleo ya kweli hapa bunda
 
Hakuna mwananchi wa bunda anayeweza kumchagua wasira,mbunge wa kwenda kulala usingizi bungeni hata sisi wanachama wa ccm tumeamua tumchague binti Bulaya

Wewe Mmawia Na Ccm Wap Na Wap?Unajifanya Unajua Sana Bunda Kuliko Wanabunda Wenyewe!!Acha Kushabikia Wkt Hata Kufika Hujafika,huyu Bulaya Kapewa Upendeleo Ambao Hata Ccm Haijawah Kuufanya,wew Mtu Kashka Nafas 3 Ktk Kura Za Maoni,hata Wajumbe Waliokua Wanapiga Kura Hawakuridhka Nae Unategemea Mtu Kama Huyu Et Ashinde Kirahis Kama Unavofikiria?Kwanza Wanaccm Gan Unaozungumzia Wew Wkt We Mwnyewe Sio Mwanaccm..We Kweli #mkapavoice
 
Wewe Mmawia Na Ccm Wap Na Wap?Unajifanya Unajua Sana Bunda Kuliko Wanabunda Wenyewe!!Acha Kushabikia Wkt Hata Kufika Hujafika,huyu Bulaya Kapewa Upendeleo Ambao Hata Ccm Haijawah Kuufanya,wew Mtu Kashka Nafas Ktk Kura Za Maoni,hata Wajumbe Waliokua Wanapiga Kura Hawakuridhka Nae Unategemea Mtu Kama Huyu Et Ashinde Kirahis Kama Unavofikiria?Kwanza Wanaccm Gan Unaozungumzia Wew Wkt We Mwnyewe Sio Mwanaccm..We Kweli #mkapavoice

Mimi ni mzaliwa wa hapa bunda,nipo hapa bunda na ni mwana ccm na kwa taarifa yako sisi wazee wa hapa bunda tumechukizwa na uwamuzi wa kutuletea huyu wasira,sasa tumeamua woote kwa pamoja kumchagua binti Bulaya tuna muamini kuliko huyu wa kusinzia bungeni....moleembe.....
 
Wewe Mmawia Na Ccm Wap Na Wap?Unajifanya Unajua Sana Bunda Kuliko Wanabunda Wenyewe!!Acha Kushabikia Wkt Hata Kufika Hujafika,huyu Bulaya Kapewa Upendeleo Ambao Hata Ccm Haijawah Kuufanya,wew Mtu Kashka Nafas 3 Ktk Kura Za Maoni,hata Wajumbe Waliokua Wanapiga Kura Hawakuridhka Nae Unategemea Mtu Kama Huyu Et Ashinde Kirahis Kama Unavofikiria?Kwanza Wanaccm Gan Unaozungumzia Wew Wkt We Mwnyewe Sio Mwanaccm..We Kweli #mkapavoice

Duh mkuu una kumbukumbu fupi au ndo mpu..avu kama alivyosema LODI LOFA jangwani, Kumbuka uchaguzi 2010 bashe aliongoza nzega lakini ccm/wama ikamsimamisha kingwangala aliyeshika mkia wa 4.

CHEKI B W MK ALIVYOFANANA NA LODI LOFA HALISI

ndunguru-lodi-lofa.jpg
 
Mimi ni mzaliwa wa hapa bunda,nipo hapa bunda na ni mwana ccm na kwa taarifa yako sisi wazee wa hapa bunda tumechukizwa na uwamuzi wa kutuletea huyu wasira,sasa tumeamua woote kwa pamoja kumchagua binti Bulaya tuna muamini kuliko huyu wa kusinzia bungeni....moleembe.....

huoni hata aibu unavoijiita nawew ni mmoja kati wazee wa bunda,mbna unawashushia heshima wazee wa watu?we kama ni mzaliwa haimaniish we ni mkaz wa bunda.....mwanaccm toka lin kila siku unatukana wanaccm unajiita nawew mwanaccm toka lin?
 
Back
Top Bottom