sangujoseph
Senior Member
- Nov 30, 2015
- 164
- 184
By Sangu Joseph
Miezi kadhaa iliyopita niliandika mawazo yangu (Tathmini yangu kwa Harmonize nje ya WCB - JamiiForums moja ambao), mwisho nilijiuliza Harmonize atachukua nafasi ya nani kati ya Alikiba au DiamondPlatnumz, mwisho nikasema labda tuone historia mpya ikiandikwa kuwa mafahari watatu wakikaa kwenye zizi moja la BongoFleva.
Leo niendelee kutokea hapa, tumeona Album ya Konde Boy, na sasa #Dodo ya KingKiba, kila mmoja ni ametisha kwa upande wake, Kiba audio kali sana video ndiyo usiseme tumempata Alikiba tunayemjua kiufupi Ngoma imekamilika kila idara changamoto zilizopo ni za kawaida sana (Nitaeleza siku nyingine), kuhusu bwana Rajab KondeBoy niliasheleza kitambo sana kupitia ( Tathmini ya Sangu J kuhusu uzinduzi wa albamu ya #AFROEAST ya Harmonize - JamiiForums ) na ( PART 2 : Tathmini ya SanguJ uzinduzi wa albamu ya #Afroeast ya Harmonize - JamiiForums ) hayo ndiyo majibu.
Kwa nilichokiona kati ya hao wawili, Kiba na Konde Boy ndiyo battle kubwa iliyopo sasa, kwa sababu asilimia kubwa ya wanaomsapoti Konde ndiyo hao wanaomsapoti Kiba, sasa kinachokuja ni kugawana tu.
Sasa kwenye battle ya kugombea kugawana wadau wanaowasapoti mara nyingi anayeshinda ni yule mwenye Project nyingi sana, na hapo unamuona Konde Boy akiwachukua wadau wengi sana, Ila kazi ya Alikiba moja inaweza kuwa kali kuliko kazi zote za KondeBoy ila tatizo la Bwana King, anakaa muda mrefu kutoa ngoma, plus na wasanii wake, huku ndugu Konde akiwa One-man Army.
Kwa Diamond ni tofauti kwa sababu yeye kitambo inajulikana haungwi mkono na wengi wanaowaunga mkono King na Konde Boy hivyo kwake anafurahia na kunywa kahawa pale Kijiweni Madale, akiwa ameweka miguu juu.
Kwa sasa game Battle ya Alikiba, Konde na Chibu imefikia patamu sana kwa sababu wanaojudge ni mashabiki Ila itakua tamu zaidi.
Insta: FB: Twit: SanguJoseph
#KijanaMzalendo #IloveTZ
Sent using Jamii Forums mobile app