Ana tuhuma za mauaji na jaribio la mauaji kwa Lissu. Hafai. Analigawa Taifa letu na hana hekima. Anaamini kwenye mabavu. Hafai. Ni mnafiki anayejifanya anamcha Mungu lakini kizani anafanya maovu!Binafsi nimevutiwa Sana na namna Rais Magufuli alivyoishape na kuiendeleza nchi yetu kwa kipindi cha miaka mitano alichokuwa madarakani.
Kuna mambo mengi Sana ambayo kayafanya na yanaonekana kwa macho ni mambo mema sana.
Tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano ili akamilishe kazi yake nzuri aliyoianza.
Namuombea Mh. Magufuli na Mgombea Mwenza mama Samia kwa nafasi Urais.
Tukapige kura za ndio kwao , hao wawili wanaonekana mwanzoni kabisa wa karatasi ya kupigia kura, weka tiki hapo mwanzoni kabisa mwa karatasi yako usijichoshe kuangalia kwingine.
Tanzania inakwenda kushinda tena.
Mitano kwa JPM.
Wewe uliyevutiwa mpigie, kuvutiwa kwako sisi kutatusaidia nini. Hata sisi kuna upande tumevutiwa nao, kila mtu atakula alikopeleka mboga.😎Binafsi nimevutiwa Sana na namna Rais Magufuli alivyoishape na kuiendeleza nchi yetu kwa kipindi cha miaka mitano alichokuwa madarakani.
Kuna mambo mengi Sana ambayo kayafanya na yanaonekana kwa macho ni mambo mema sana.
Tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano ili akamilishe kazi yake nzuri aliyoianza.
Namuombea Mh. Magufuli na Mgombea Mwenza mama Samia kwa nafasi Urais.
Tukapige kura za ndio kwao , hao wawili wanaonekana mwanzoni kabisa wa karatasi ya kupigia kura, weka tiki hapo mwanzoni kabisa mwa karatasi yako usijichoshe kuangalia kwingine.
Tanzania inakwenda kushinda tena.
Mitano kwa JPM.
Acha kumuombea kura muuaji wewe unataka kushiriki dhambi zake?!Binafsi nimevutiwa Sana na namna Rais Magufuli alivyoishape na kuiendeleza nchi yetu kwa kipindi cha miaka mitano alichokuwa madarakani.
Kuna mambo mengi Sana ambayo kayafanya na yanaonekana kwa macho ni mambo mema sana.
Tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano ili akamilishe kazi yake nzuri aliyoianza.
Namuombea Mh. Magufuli na Mgombea Mwenza mama Samia kwa nafasi Urais.
Tukapige kura za ndio kwao , hao wawili wanaonekana mwanzoni kabisa wa karatasi ya kupigia kura, weka tiki hapo mwanzoni kabisa mwa karatasi yako usijichoshe kuangalia kwingine.
Tanzania inakwenda kushinda tena.
Mitano kwa JPM.
Tunampa kura Dkt Magufuli kwa mamilioni yetu. Hakuna zaidi yake. Hatumtaki wakala yule wa mabeberuBinafsi nimevutiwa Sana na namna Rais Magufuli alivyoishape na kuiendeleza nchi yetu kwa kipindi cha miaka mitano alichokuwa madarakani.
Kuna mambo mengi Sana ambayo kayafanya na yanaonekana kwa macho ni mambo mema sana.
Tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano ili akamilishe kazi yake nzuri aliyoianza.
Namuombea Mh. Magufuli na Mgombea Mwenza mama Samia kwa nafasi Urais.
Tukapige kura za ndio kwao , hao wawili wanaonekana mwanzoni kabisa wa karatasi ya kupigia kura, weka tiki hapo mwanzoni kabisa mwa karatasi yako usijichoshe kuangalia kwingine.
Tanzania inakwenda kushinda tena.
Mitano kwa JPM.
Uliwahi kutembelea Kisarawe miaka 5iliyopita?Natokea Msanga Zalala wilaya ya Kisarawe ambayo Suleiman Jaffo ndiye mbunge wake, Ni aibu, barabara Ni mbovu Sana. Kisarawe hakuna maendeleo, je na kwenyewe wanaadhibiwa kwa kuwapigia kura wapinzani?
Umesikika na utafikiwa,Natokea Msanga Zalala wilaya ya Kisarawe ambayo Suleiman Jaffo ndiye mbunge wake, Ni aibu, barabara Ni mbovu Sana. Kisarawe hakuna maendeleo, je na kwenyewe wanaadhibiwa kwa kuwapigia kura wapinzani?
Mmeshindwa kuujenga ile barabara tangu uhuru na pale hapajawahi kuwa na kiongozi MPINZANI.Umesikika na utafikiwa,
Kisarawe tumefanikiwa kutokomeza ziro chini ya DC wetu hodari kabisa,
Serikali kupitia Ilani ya CCM itahakikisha maeneo yote korofi yanapata ufumbuzi katika awamu inayofuata,
Amini kuwa kero yako itatatuliwa.
Usisahau kuweka tiki pale juu kabisa ya karatasi yako ya kura.
Muda huu ninatoka Msanga Zalala, na Jana Jaffo alikuwa na mkutano wake wa kampeni hapo Msanga ZalalaUliwahi kutembelea Kisarawe miaka 5iliyopita?