Namungo wanapiga mpira mzuri sana

Namungo wanapiga mpira mzuri sana

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
18,323
Reaction score
26,176
Hapa naangalia game ya Namungo vs Azam, kusema ukweli Namungo wanampira mmoja mzuri sana.

Namungo ka-dominate game nzima, Azam wanasakwa kwenye goal lao kama Polisi anamtafuta mhalifu.
 
Back
Top Bottom