Namungo ni dhaifu au sio dhaifu?

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,423
9,816
Kutokana na ubora wa yanga kila ambapo mechi ya yanga inapoisha kumekua na maneno kutoka kwa mashabiki wa timu kubwa pinzani na yanga kwamba yanga anacheza na timu dhaifu.

Baada ya kushinda goli 5 kwa mechi mbili mfululizo kwenye ligi kuu na kuwatoa al sabieh kwa jumla ya magoli 7-1 mashabiki pinzani wakasema izo timu ni dhaifu na atakapokutana na al-marrikh atapata upinzani mkali kwa maana iyo timu ina uzoefu wa michuano ya CAF ila game ya mzunguko wa kwanza yanga kashinda 2-0 na kuonesha uwezo mkubwa zaidi ya el marreick.

Kesho yanga anashuka dimbani kucheza na namungo. Kabla ya game ya kesho naomba kujua mtazamo wa mashabiki wa timu kubwa pinzani na yanga. Je namungo ni dhaifu au sio dhaifu?
 
Utopwinyo
 
Yanga wamefanya mbinu za kuweka watu wao kwenye uongozi wa timu za ligi kuu.Huu mchezo utaendelea kesho kwa kiongozi wa Namungo Omari Kaaya kupokea maagizo.Wamefanya pia kwa Tabora United na Thabit Kandoro.Wote ni viongozi wa kamati za Yanga na wanachama hai.Mpira wa Tanzania una safari ndefu.
 
Una maanisha ata ile fainal ya Caf ambayo Yanga alicheza, Yanga alifanikiwa kwakua timu zote alizocheza nazo kulikua na viongozi wa Yanga?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kwani hiyo fainali Yanga alishinda?Ni jambo zuri hukanushi kuhusu hao viongozi wenu bali unahamisha magoli!
 
Yanga wamefanya mbinu za kuweka watu wao kwenye uongozi wa timu za ligi kuu.Huu mchezo utaendelea kesho kwa kiongozi wa Namungo Omari Kaaya kupokea maagizo.Wamefanya pia kwa Tabora United na Thabit Kandoro.Wote ni viongozi wa kamati za Yanga na wanachama hai.Mpira wa Tanzania una safari ndefu.
Duuh hatari sana
 
Kweli wewe ni Tui la nazi.
Club Africain kapigwa kwao
Tp Mazembe kapigwa nje ndani
Marumo kapigwa nje ndani
USMA kapigwa kwao
Rivers united kapigwa Taifa
Monastir kapigwa taifa
Real Bamako kapigwa taifa
Al Merrikh kapigwa Kigali

Nyie endelezeni propaganda ila mkija kustuka kuhusu kupiga hatua kwa Yanga, mtakuwa mmeshachelewa. Msimu uliopita mlisema shirikisho ni kwa vibonde ila klabu bingwa ndio kwa wanaume, haya Yanga makundi mguu mmoja upo ndani. Msije badilisha maneno huko mbeleni japokuwa tumejionea bingwa wa klabu bingwa akigalagazwa na bingwa kombe la vibonde.
 
Namungo sio dhaifu ila kunabaadhi ya wachezaji washapitishiwa mlungula toka week iliyo pita ivo tusitegemee game ya ushindani siku hiyo tutegemee makosa ya kibinadum mengi mala kujifungu mala kujiangasha kwa kifupi yanga washaimaliza hii game. Hivo j5 nikukamilisha ratiba tu
 
Ukweli Ni kwamba Yanga Ni timu Bora kwa Sasa,Ila nategemea itapata changamoto humu humu kwenye ligi ya NBC........Yanga imeweza kuwekeza kuendeleza kile ilichokipata msimu uliopita,bado kwenye upande wa striker hawajapata mbadala wa Mayele.
 
Yanga wamefanya mbinu za kuweka watu wao kwenye uongozi wa timu za ligi kuu.Huu mchezo utaendelea kesho kwa kiongozi wa Namungo Omari Kaaya kupokea maagizo.Wamefanya pia kwa Tabora United na Thabit Kandoro.Wote ni viongozi wa kamati za Yanga na wanachama hai.Mpira wa Tanzania una safari ndefu.
Msikie huyu nae.
 
Kweli wewe ni Tui la nazi.
Club Africain kapigwa kwao
Tp Mazembe kapigwa nje ndani
Marumo kapigwa nje ndani
USMA kapigwa kwao
Rivers united kapigwa Taifa
Monastir kapigwa taifa
Real Bamako kapigwa taifa
Al Merrikh kapigwa Kigali

Nyie endelezeni propaganda ila mkija kustuka kuhusu kupiga hatua kwa Yanga, mtakuwa mmeshachelewa. Msimu uliopita mlisema shirikisho ni kwa vibonde ila klabu bingwa ndio kwa wanaume, haya Yanga makundi mguu mmoja upo ndani. Msije badilisha maneno huko mbeleni japokuwa tumejionea bingwa wa klabu bingwa akigalagazwa na bingwa kombe la vibonde.
Ni dalili kuwa Yanga iko level zingine.
 
Simba ndio timu iliyofungwa na Yanga maranyingi zaidi kuliko timu yoyote katika nchi hii. Yeye ndio dhaifu namba moja kwa Yanga.
Ahaa, unazungumzia zamani, nilidhani kwa msimu huu. Kama ni zamani, Yanga ameshapigwa na Simba 6-0, 5-0, 4-1 na dozi nyingine ndogo ndogo za bao 3
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom