Namuhitaji huyu

tafuta pesa huko kuchechemea hakuta onekana hata kidogo
 
Jaribu kupotezea kidogo swala la mwenza. Elekeza mashambulizi kwenye kusaka fedha, ukizipata wekeza kwenye vitu vya kudumu, mfano: majumba. Baada ya hapo wenza lukuki watakufuata, na wewe utachagua mmoja utakayeona anakufaa. Kila la heri, ndugu.
Sasa dushe linamwasha wewe unamwambia aanze kujenga majumba ili wamfuate, au unataka apige nyet,,.o? Wasio na mali pia wanahitaji migegedo.
 

Mwanaume hata awe mlemavu wa aje, hawezi kukosa mke ili mradi tu mashine iwe inafanya kazi. Lkn kwa wanawake walemavu ni ngumu kupata mume. Wanakosa waume wanawake warembo kabisa, sembuse walemavu!
 
Aisee ndugu hebu acha kujiona hufai, futa hizo hisia kabisa .mimi pia ni mlemavu tena natembelea gongo lakini nili mtongoza binti mmoja hiv mtaani kwetu ambaye nilihisi anaweza kuwa mke bora baadae na alikubali japo sio kwa siku moja alinizungusha kama mwezi hivi baadae akakubali na kuomba nisije kumtenda kwa amejikuta amenipenda nahapo jamaa kibao walimtokea akawatolea nje kwa uchunguzi nilioufanya. Na wakati nafukuzia siku sikuweka hisia za ulemavu, je wewe unaechechemea si afadhali kuliko mm, mapenzi ni kitu cha ajabu sana. Na epuka kutaja elimu au kazi yako mapema kwani unaweza kujiongezea uwezekano wa kupata asiye na mapenzi ya dhati kwako. Ukiona vigumu kumtamkia na umeshamuona mm nipo tayar kukusaidia. Nipo moro town.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…