namuacha.. haachiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

namuacha.. haachiki

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mkonowapaka, Jan 9, 2011.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  hello jf....mko poaa


  nimerudi tena...sikujua kama kuachaga mtu nayo ni kazi ingine..ni hivi majuzi kati g/f wangu nilieanza nae tangu 2007 wakat npo chuo..tulipishana usemi, ila mwenzangu ana hasira sana..alipanic akaanza kuporomosha hadi matusi ya nguoni...sh.ga mkubwa,mbw.a,na mengine mpaka nikajiuliza huyu mtu ana digrii ya heshima kweli au ndo madesa coz mimi nilikaa kimya..sikumjibu kitu.....

  chanzo:nilikatisha mawasiliano nae tangu dec kwa sababu km izo...baada ya siku 1 kaanza kuomba msamaha,kwamba nimsamehe ananipenda sana ni shetani tu alimpitia...ni msamaha aanawakol my friends wamuombee,hadi mama yake ananipigia ila sijamjibu chochote na sitaki kuwasiliana nae...ikumbukwe tu kwamba hii ni mara ya 3 anarudia kosa hilo hilo..nimeona bora nijitoe mazima...ingawa hakubali kbs kuachika na mimi anadai hataweza kupata km mimi!!...nifanyeje apotee simtaki tenaa
   
 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kwani hapo unapoishi hufugi mbwa?Kama bobi yupo we mpige stopu asikanyage unapoishi na siku akija unamuacha bobi aseme naye,ila kama hakuna bobi nambie nikupe ushauri mwingine.
   
 3. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  ebu nrushie ako kaushauri kengine maana apa bobi hakuna
   
 4. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Hajaelewa somo kuwa sasa umeamua kimoja kumuacha,ushauri wangu,mtafute mkae sehemu nzuri,mzungumze na umwambie tofauti na mara zote ulizomsamehe sasa hivi umemsamehe lakini uhusiano ndo umefika ukingoni,na umuonyeshe kwa vitendo si kesho yake akikuambia ana shida na naniii yako we huyo ndo maana anarudi.....LOL,huyu ni mtu umefanya nae mengi kwa miaka mitatu,ni mingi sana wengine hatujawahi kufika hata mwaka na mwanaume kwenye uhusiano na inakuwa ngumu ni wa huyo miaka 3????kwahiyo haitakuwa rahisi,it may take time yeye kukubali,msaidie kukubali bila kumuumiza zaidi.
   
 5. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Hakijaharibika kitu hapo,kama bobi hakuna tafuta mmasai kisha mpe picha yake na utoa maelekezo kuwa huyu mtu asikanyage hapa niwepo au nisiwepo na wewe popote utakapomuona unamtizama kama humjui na wala usijifanye hujamuona maana atakufuata,na kama hili pia haliwezekani niambie nikupe nyingine.
   
 6. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  mkuu hongera kwa kuepusha msongamano.
   
 7. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  msamehe hlf uwe unapotezea muda! akishtuka ye mwenyewe atachapa lapa.
   
 8. k

  kisukari JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,757
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
  relationship ya miaka 3,kuachana kidogo ni ngumu,ingawa mwanzo kwa huyo m.ke atapata tabu,ila baadae atazoea.inonyesha wewe ndio kabisaaaa humtaki tena.kwa maneno yake huyo dada,sikulaumu.labda umwambie umesha move on na una mtu mpya kabisa,akipiga simu,usipokee,na akikutumia msg usijibu.ingawa wadada wengine hawakubali kuachwa kirahisi rahisi.atahangaiika wee,mwisho atachoka mwenyewe
   
 9. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  i can feel that woman,remind me 12 years ago nilivyoachwa na mpenzi wangu wa kwanza, hurt like hell, nilikuwa namkimbiza mtaani kama chizi,alivyoona sielewi somo akaanza kunipitishia mademu mtaani kwetu mbele ya macho yangu,lakini bado nikawa sielewi somo,mpaka akahama maeneo kwenda kuishi kwa shangazi yake,hapo ndio ulikuwa mwisho wa kumuona na kumsahau.halafu enzi hizo kulikuwa hamna simu wala nini,mtu akihama ndio basi tena.
  from that time,sijaweka nafasi ya kuachwa tena, nikiona huu upepo unaelekea kubaya,mimi ndio naacha.
  Nilirudi bongo miaka 3 iliyopita,nikamuona jamaa,kashokaaaa,ana watoto 3 halafu hata hela ya kula inamshinda,life is so interested
   
 10. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ushauri wa paka mmoja kwa paka mwenzake ?

  Saa zingine hiyo ya kutopokea simu na kutojibu sms haisaidii kuna demu mmoja baada ya kumuacha kwa miaka miwili bado akawa anatuma sms na kupiga simu sipokei/sijibu lakini haachi.
   
 11. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  i know anaumia sana...ila sina jinsi imenilazim coz all i need is happiness..am nt happy wth her..hakuna haja ya kuwa na mtu just to say ur having someone...imenicost hata mimi more than 3 yrs nilitakiwa kwa sasa ndo tuwe tunapanga kuoana...but haipo hivyo...ingawa bado sijajicomit kwenye serious relation na huyu binti mwingine pale but at least i can sense the hapiness...mimi ni tofaut sana na wanaume wengi...siwezag kua na msichana zaid ya mmoja at a time..alifika mahali akaona km ndo nimeshamuoa na anaamua tu lolote kwmba nitamsamehe tu..that simple..but now its over though me pia naumia sana anavyohangaika kuntafuta hadi wazaz wake!! yaani inahtaj moyo sana
   
 12. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Wewe ni mmasai?
   
 13. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmh inauma 3 year ni kama ndoa fulani vile........ anyway we muache na ninakushauri ujihakikishie ndani yamoyo wako kuwa haumpendi tena!
   
 14. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  mitusi mizito sana hiyo haisameheki!
   
 15. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kaka ningekushauri umsamehe, lakini kitendo cha kukuita shoga! Nop!! kimbiza huyo hana adabu!!
   
 16. E

  Edson Silumbe Member

  #16
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Piga Chini,ukiataka kumuua nyani usimwangalie usoni,utamuonea Huruma!!
  Usijtahidi kumkwepesha na Maumivu,mwache aumie lkn baadaye atapoa na Maisha yataendelea!
  Mwanamke au mwanamme king'anganizi kumwacha kaka ni mpaka wewe mwenyewe uchague kuwa "Mnyama" ukitaka kuishughulikia kistaarabu imekula kwako,haachiki!!!
  Sasa hv akikupigia simu kama upo maskani unapokea,unasema Hello halafu unaiweka kwenye speaker ya Tv au redio,fanya hivyo kila mara,akipiga haupo home usipokee wala usijibu!!

  Nevertheless,Mm sikubaliani na wewe sana kwamba kumwacha mtu ni kazi kihivyo kama kweli HAUMPENDI kabisa,inakuwa issue km bado kuna chembechembe zimebaki moyoni!!
  Zikiwa zimebaki ndiyo kazi na hata huyo mwanamke atajua na ndio maana she feels inspired to continue fighting for u coz she can still see her chances in your eyes!!
  KUWA MNYAMA,SIKU TATU TU ATAKUACHA MWENYEWE!!!
   
 17. tracy

  tracy JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  We are on the same track,ila mimi tukigombana ananjib nenda kwa mwanaume flani!afu ts mo than 4yrz together..pole,try ur best.
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,182
  Trophy Points: 280
  Huna msimamo na amekujua kuwa wewe ni bongo lala ndio maana anakuchezea na kukuendesha.
   
 19. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #19
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mh nakubaliana na wewe kuna watu wengine sijui wakoje na si wanawake tu hata wanaume mtu unamwambia sikutaki anang'ang'ania kama luba kwani lazima? mtu si ashakwambia hakutaki tujifunze kukubaliana na hali halisi
   
 20. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Inahitaji moyo sana,ila itapita.kuwa na msimamo,mwanamke kukuita shoga ni ishu,ni dharau ya mwisho?sipigilii msumari but matusi yako mengi,why shoga?Limtokalo mtu ndilo liujazalo moyo wake. You deserve better!
   
Loading...