Namtumia Pompeo

Namtumia Pompeo

Watanzania tujirudi na kujithamini uzalendo wetu ukoje! Haingiii akilini kujisifia kwa kufanya kitendo cha kuiabisha nchi yako nchi za nje. Ukiwa ni mzalendo wa nchi yako pendwa huku unajitambua ni muhimu kutoidhalilisha nchi huko nje eti unajifanya kutetea demokrasia. Tanzania ni ncji huru hivyo yabidi itokeapo misuguano na mtafaruku ndani ya nchi busara na hekima mapungufu yote yamalizwe kwa kutumia vyombp vya usuluhishi vilivyopo Tanzania. Huyo Pompeo hawasaidii watz kujenga nchi yetu kwa vile kamwe hana uchungu na Tanzania. Tuachane na mabeberu hawana nia ya kutusaidia bali watazidi kutudhoofisha jitihada zetu kuelekea uchumi wa viwanda hatimaye Tanzania kuwa donor country. Watz tujitambue ipasavyo, wakati ni huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyombo gani kumaliza migogoro
Mikutano ya vyama marufuku
Mikutano ya ndani ya vyama marufuku
Press conference za upinzani marufuku
Nchi ilikofika hakuna namna ilikuwa lazima tusaidiwe.
 
Ukiona kuna mtu anatafuta kutatuliwa matatizo yake yanayomuhusu tena tatizo lenyewe analimudu kutoka nchi nyingine bila yeye mwenyewe kulitatua huyo mtu ni tegemezi kifikra na ni mbinafsi kupindukia. Na kamwe hafai kuwa kiongozi wa nchi hiyo. Bahati mbaya mtu huyo akipata madaraka, wananchi wa nchi hiyo watapata suluba ya hatari. Mifano hipo, tumeyaona Burkina Faso baada ya mzalendo Sankara(R.I.P) kuuwawa, Libya baada ya Gaddafy(R.I,P) kuuwawa, Yugoslavia, Ukraine, Haiti, nakadhalika.
Tanzania kwa asili ni watu wa kujitatulia mambo yetu wenyewe tunayoyamudu. Zilitokea vurugu Zanzibar kipindi fulani akaja hata Koffi Annan(R.I.P) kutatua mgogoro akashindwa. Lakini tulipo baki wenyewe, tukatatua mgogoro ule. Kwa anayetafuta uungwaji mkono nchi za nje kukidhi ubinafsi wake uliopitiliza asahau uungwaji mkono kutoka kwa Watanzania wengi wanaojitambua. Hatafanikiwa!
 
Hii hapana haitasaidia na tukiwatoa ccm kwa njia hiyo na wao watalipa kisasi vilevile

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa binafsi nachukia njia za demokrasia ya kumwaga damu
Demokrasia safi ni mikakati ya kisayansi na kiitikadi mshindane majukwaani kwa hoja za kujenga.
 
Na sasa barua ya Mbowe hahhahhaa, Mbowe anajua hakuna chochote kitakochofanyika but ananawa mikono yake kama Kaisari. CHADEMA kila wanachofanya kiko well calculated. Wanaangalia mbali zaidi wakati mi-CCM inaangalia hatua tano tu
Hivi walifikiri upinzani kukubali kushiriki chaguzi zilizonajisiws na CCM walikua wajinga. Walikuwa wanakusanya evidences. Na ile ya RC kubebwa na polisi baada ya Mwikabe kushinda kwa magumashi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tujirudi na kujithamini uzalendo wetu ukoje! Haingiii akilini kujisifia kwa kufanya kitendo cha kuiabisha nchi yako nchi za nje. Ukiwa ni mzalendo wa nchi yako pendwa huku unajitambua ni muhimu kutoidhalilisha nchi huko nje eti unajifanya kutetea demokrasia. Tanzania ni ncji huru hivyo yabidi itokeapo misuguano na mtafaruku ndani ya nchi busara na hekima mapungufu yote yamalizwe kwa kutumia vyombp vya usuluhishi vilivyopo Tanzania. Huyo Pompeo hawasaidii watz kujenga nchi yetu kwa vile kamwe hana uchungu na Tanzania. Tuachane na mabeberu hawana nia ya kutusaidia bali watazidi kutudhoofisha jitihada zetu kuelekea uchumi wa viwanda hatimaye Tanzania kuwa donor country. Watz tujitambue ipasavyo, wakati ni huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna aliyeaibisha Tanzania wala Wananchi wa Tanzania.
Bali wanaoaibika ni Watawala kwa sababu ya matendo yao maovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani anayeidhalilisha nchi nje ya nchi? Matendo mabaya ya CCM unadhani hayaonekani?Mnaua mnateka mnanyanyasa watu huo ndiyo uzalendo? Uhuru gani wa kuua kuteka na kunyanyasa RAIA? Mnafanya hayo yote halafu mnataka watu wakae kimya.Huu ni upuuzi wa kiwango cha lami
Watanzania tujirudi na kujithamini uzalendo wetu ukoje! Haingiii akilini kujisifia kwa kufanya kitendo cha kuiabisha nchi yako nchi za nje. Ukiwa ni mzalendo wa nchi yako pendwa huku unajitambua ni muhimu kutoidhalilisha nchi huko nje eti unajifanya kutetea demokrasia. Tanzania ni ncji huru hivyo yabidi itokeapo misuguano na mtafaruku ndani ya nchi busara na hekima mapungufu yote yamalizwe kwa kutumia vyombp vya usuluhishi vilivyopo Tanzania. Huyo Pompeo hawasaidii watz kujenga nchi yetu kwa vile kamwe hana uchungu na Tanzania. Tuachane na mabeberu hawana nia ya kutusaidia bali watazidi kutudhoofisha jitihada zetu kuelekea uchumi wa viwanda hatimaye Tanzania kuwa donor country. Watz tujitambue ipasavyo, wakati ni huu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sasa barua ya Mbowe hahhahhaa, Mbowe anajua hakuna chochote kitakochofanyika but ananawa mikono yake kama Kaisari. CHADEMA kila wanachofanya kiko well calculated. Wanaangalia mbali zaidi wakati mi-CCM inaangalia hatua tano tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanye lipi wakati wao wanawaza kutawala kimabavu hata kama hawapendwi na wananchi. Aliyefanikiwa katika siasa za upinzani alikua Kikwete, upinzani ulikuwa na sauti na nchi ilikua na amani.
 
Ukiona kuna mtu anatafuta kutatuliwa matatizo yake yanayomuhusu tena tatizo lenyewe analimudu kutoka nchi nyingine bila yeye mwenyewe kulitatua huyo mtu ni tegemezi kifikra na ni mbinafsi kupindukia. Na kamwe hafai kuwa kiongozi wa nchi hiyo. Bahati mbaya mtu huyo akipata madaraka, wananchi wa nchi hiyo watapata suluba ya hatari. Mifano hipo, tumeyaona Senegal baada ya mzalendo Sankara(R.I.P) kuuwawa, Libya baada ya Gaddafy(R.I,P) kuuwawa, Yugoslavia, Ukraine, Haiti, nakadhalika.
Tanzania kwa asili ni watu wa kujitatulia mambo yetu wenyewe tunayoyamudu. Zilitokea vurugu Zanzibar kipindi fulani akaja hata Koffi Annan(R.I.P) kutatua mgogoro akashindwa. Lakini tulipo baki wenyewe, tukatatua mgogoro ule. Kwa anayetafuta uungwaji mkono nchi za nje kukidhi ubinafsi wake uliopitiliza asahau uungwaji mkono kutoka kwa Watanzania wengi wanaojitambua. Hatafanikiwa!
Kwa hiyo wewe unaamini kuwa mwenyekiti wa ccm anaweza kuwa tayari kumpa ushirikiano mwenyekiti wa chadema? Sijui kwa nini mnakuwa wapumbavu? Ni mara ngapi Mbowe ameomba iundwe tume ya maridhiano munamcheka? Watu wanatamani hata moto ushuke uiunguze nchi tufe wote----

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafanye lipi wakati wao wanawaza kutawala kimabavu hata kama hawapendwi na wananchi. Aliyefanikiwa katika siasa za upinzani alikua Kikwete, upinzani ulikuwa na sauti na nchi ilikua na amani.
Mimi niliwahi kuchunga mifugo nikiwa mtoto, nikuwaswaga tu, husikilizi chochote. Sijasema tunaongozwa na watu kama hao
 
Hii hapana haitasaidia na tukiwatoa ccm kwa njia hiyo na wao watalipa kisasi vilevile

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue CCM hawana uwezo wala uzoefu wa kufanya siasa bila kubebwa na vyombo vya dola, tangu kuasisiwa kwake kimekuwa chamadola hivyo kikisha ondoka madarakani kitakufa,itabidi waanze upya kama sisi tulivyoanza 1992.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanatamani hata moto ushuke uiunguze nchi tufe wote----
Hizi ni dalili za watu wenye ubinafsi uliopitiliza. Hivyo sikushangai, na sishangai misimamo yako. Tanzania ni kubwa na ukubwa wake unaheshimika. Elewa vizuri hii kauli.
 
Ukiona kuna mtu anatafuta kutatuliwa matatizo yake yanayomuhusu tena tatizo lenyewe analimudu kutoka nchi nyingine bila yeye mwenyewe kulitatua huyo mtu ni tegemezi kifikra na ni mbinafsi kupindukia. Na kamwe hafai kuwa kiongozi wa nchi hiyo. Bahati mbaya mtu huyo akipata madaraka, wananchi wa nchi hiyo watapata suluba ya hatari. Mifano hipo, tumeyaona Senegal baada ya mzalendo Sankara(R.I.P) kuuwawa, Libya baada ya Gaddafy(R.I,P) kuuwawa, Yugoslavia, Ukraine, Haiti, nakadhalika.
Tanzania kwa asili ni watu wa kujitatulia mambo yetu wenyewe tunayoyamudu. Zilitokea vurugu Zanzibar kipindi fulani akaja hata Koffi Annan(R.I.P) kutatua mgogoro akashindwa. Lakini tulipo baki wenyewe, tukatatua mgogoro ule. Kwa anayetafuta uungwaji mkono nchi za nje kukidhi ubinafsi wake uliopitiliza asahau uungwaji mkono kutoka kwa Watanzania wengi wanaojitambua. Hatafanikiwa!
Utatatua matatizo na ukuta? Viongozi wa upinzani wakifungua midomo tu wako gerezani, wametekwa au kupigwa risasi. Hata nyumbani baba akiwa kiburi mnapeleka mashauri kwa wenye hekima na busara.
 
Ukiona kuna mtu anatafuta kutatuliwa matatizo yake yanayomuhusu tena tatizo lenyewe analimudu kutoka nchi nyingine bila yeye mwenyewe kulitatua huyo mtu ni tegemezi kifikra na ni mbinafsi kupindukia. Na kamwe hafai kuwa kiongozi wa nchi hiyo. Bahati mbaya mtu huyo akipata madaraka, wananchi wa nchi hiyo watapata suluba ya hatari. Mifano hipo, tumeyaona Senegal baada ya mzalendo Sankara(R.I.P) kuuwawa, Libya baada ya Gaddafy(R.I,P) kuuwawa, Yugoslavia, Ukraine, Haiti, nakadhalika.
Tanzania kwa asili ni watu wa kujitatulia mambo yetu wenyewe tunayoyamudu. Zilitokea vurugu Zanzibar kipindi fulani akaja hata Koffi Annan(R.I.P) kutatua mgogoro akashindwa. Lakini tulipo baki wenyewe, tukatatua mgogoro ule. Kwa anayetafuta uungwaji mkono nchi za nje kukidhi ubinafsi wake uliopitiliza asahau uungwaji mkono kutoka kwa Watanzania wengi wanaojitambua. Hatafanikiwa!
Wewe kiazi Thomas Sankara lini aliwahi kuwa kiongozi wa Senegal? Ila sikulaumu,hata Baba yenu alisema Saddam Hussein alikuwa Rais wa Libya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona kuna mtu anatafuta kutatuliwa matatizo yake yanayomuhusu tena tatizo lenyewe analimudu kutoka nchi nyingine bila yeye mwenyewe kulitatua huyo mtu ni tegemezi kifikra na ni mbinafsi kupindukia. Na kamwe hafai kuwa kiongozi wa nchi hiyo. Bahati mbaya mtu huyo akipata madaraka, wananchi wa nchi hiyo watapata suluba ya hatari. Mifano hipo, tumeyaona Senegal baada ya mzalendo Sankara(R.I.P) kuuwawa, Libya baada ya Gaddafy(R.I,P) kuuwawa, Yugoslavia, Ukraine, Haiti, nakadhalika.
Tanzania kwa asili ni watu wa kujitatulia mambo yetu wenyewe tunayoyamudu. Zilitokea vurugu Zanzibar kipindi fulani akaja hata Koffi Annan(R.I.P) kutatua mgogoro akashindwa. Lakini tulipo baki wenyewe, tukatatua mgogoro ule. Kwa anayetafuta uungwaji mkono nchi za nje kukidhi ubinafsi wake uliopitiliza asahau uungwaji mkono kutoka kwa Watanzania wengi wanaojitambua. Hatafanikiwa!
Nawachukia sana watu wanaosema "Tanzania ni nchi huru" wakati waTZ wenyewe hatupo huru ndani ya nchi yetu. Kila mwenye kuona ovu akalikemea ataitwa msaliti na hii ndo inayopelekea maovu yote kufumbiwa macho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tujirudi na kujithamini uzalendo wetu ukoje! Haingiii akilini kujisifia kwa kufanya kitendo cha kuiabisha nchi yako nchi za nje. Ukiwa ni mzalendo wa nchi yako pendwa huku unajitambua ni muhimu kutoidhalilisha nchi huko nje eti unajifanya kutetea demokrasia. Tanzania ni ncji huru hivyo yabidi itokeapo misuguano na mtafaruku ndani ya nchi busara na hekima mapungufu yote yamalizwe kwa kutumia vyombp vya usuluhishi vilivyopo Tanzania. Huyo Pompeo hawasaidii watz kujenga nchi yetu kwa vile kamwe hana uchungu na Tanzania. Tuachane na mabeberu hawana nia ya kutusaidia bali watazidi kutudhoofisha jitihada zetu kuelekea uchumi wa viwanda hatimaye Tanzania kuwa donor country. Watz tujitambue ipasavyo, wakati ni huu

Sent using Jamii Forums mobile app
stupidly and poor you!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mpuuzi una amini mgogoro wa zanzibar ulitatuliwa au ilikuwa funika kombe shetani apite ukidhani atakoma kurudi...??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tujirudi na kujithamini uzalendo wetu ukoje! Haingiii akilini kujisifia kwa kufanya kitendo cha kuiabisha nchi yako nchi za nje. Ukiwa ni mzalendo wa nchi yako pendwa huku unajitambua ni muhimu kutoidhalilisha nchi huko nje eti unajifanya kutetea demokrasia. Tanzania ni ncji huru hivyo yabidi itokeapo misuguano na mtafaruku ndani ya nchi busara na hekima mapungufu yote yamalizwe kwa kutumia vyombp vya usuluhishi vilivyopo Tanzania. Huyo Pompeo hawasaidii watz kujenga nchi yetu kwa vile kamwe hana uchungu na Tanzania. Tuachane na mabeberu hawana nia ya kutusaidia bali watazidi kutudhoofisha jitihada zetu kuelekea uchumi wa viwanda hatimaye Tanzania kuwa donor country. Watz tujitambue ipasavyo, wakati ni huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikuulize kwa unyenyekevu kabisa katiba yetu inasema rais akishatangazwa na tume huruhusiwi kupinga matokeo katika mahakama yoyote ile Sasa kwa hulka ya kidikteta ya magufuli unategemea ninani atamchalenji humu ndani bila kuomba usaidizi wa mbinyo kutoka nje?

Yaliyomkuta lisu kila mtu anayajua Sasa unataka chombo kipi Cha ndani kisaidie kutatua matatizo ya ndani ?

Lisu alipigwa risasi na serikali akalalamikia bunge limsaidie bunge likamsaliti na mahakama ikahalalisha usaliti na dhuluma ya bunge kwa lisu Leo hii unashauri matatizo ya ndani yasuluhishwe ndani!?

Ukiwa mwenye busara mpenda haki na usawa huwezi kukubali Mambo yanayofanywa na serikali ya Tanzania.

Mbinu pekee kwa Sasa nikuomba msaada wa nje ili siku viongozi wa serikali ya Tanzania wakifikishwa kwenye mahakama za uhalifu huko nje ya nchi basi mahakama za ndani zijifunze.

Sisi ni nchi kubwa lakini demokrasia yetu haifikii ya Malawi.Malawi mahakama imetengua ushindi wa rais wasasa niambie Tanzania mahakama zetu zinaweza kufanya hayo?
 
Watanzania tujirudi na kujithamini uzalendo wetu ukoje! Haingiii akilini kujisifia kwa kufanya kitendo cha kuiabisha nchi yako nchi za nje. Ukiwa ni mzalendo wa nchi yako pendwa huku unajitambua ni muhimu kutoidhalilisha nchi huko nje eti unajifanya kutetea demokrasia. Tanzania ni ncji huru hivyo yabidi itokeapo misuguano na mtafaruku ndani ya nchi busara na hekima mapungufu yote yamalizwe kwa kutumia vyombp vya usuluhishi vilivyopo Tanzania. Huyo Pompeo hawasaidii watz kujenga nchi yetu kwa vile kamwe hana uchungu na Tanzania. Tuachane na mabeberu hawana nia ya kutusaidia bali watazidi kutudhoofisha jitihada zetu kuelekea uchumi wa viwanda hatimaye Tanzania kuwa donor country. Watz tujitambue ipasavyo, wakati ni huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Are you serious yani unataka amani na mtu asiyekutakia amani yani wao wanataka tuwe wajinga wafanye wanayotaka tucheke tu mbona kipindi cha JK siasa zilifanyika nani alimtishia mwenzie kumuua hao wafausi wanaonge mambo ya kuuwa sababu wanajua boss ndio anapenda hiyo michezo uzuri bwana nguvu ya mitandao ya kijamii imenaza onekana hatwendi barabarani wala hatupembi mabango mabo ni hapa hapa nyuma ya keyboard vitu vinasoma sijui watamteka nani
 
Back
Top Bottom