Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,111
Haha brother kinachosikitisha alikuwa anakushobokea Sana baadaye anabadilika kama muujizaSoma man mapenzi sio fungu lako kama mtongozo tu unaumia hivyo, ukiachwa si ndio utajining'iniza?
We binti upo?Soma kwanza mapenzi yapo tu utayakuta huko baadaye
Kweli ukimpa attention anaanza kutake for granted nimejifunza kitu.Usijilaumu sana.
Bado uko chuoni...
Na wanawake hawaeleweki hata siku moja...
Na ukimshobokea mwanamke ndo mwanzo wa kujidharaulisha - hasa wakiwa bado kwenye foolish age yao (19 -27).
Huyo bila shaka kakuona huna lo lote kwake. Labda pesa huna au mwonekano wako. Au anaweza kuwa ana-play hard to get. Hawaeleweki na hata wao wenyewe hawajui wanataka nini yaani.
Ni kwenda nao kwa tahadhari hivyo hivyo.
Pole!
Nipo mkuu, habari ya siku nyingi? Happy new yearWe binti upo?
Kweli kabisa brother naona ni kama nilizidisha ngoja nisome tu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hawa watu hawataki userious.Ulichokosea ni kufunguka unampenda,,,ungeenda nae kijokes jokes
ivoivo,,me nazani saivi tungekuwa tunasoma "uzi wa kula tunda kimasihara"
Usijilaumu sana.
Bado uko chuoni...
Na wanawake hawaeleweki hata siku moja...
Na ukimshobokea mwanamke ndo mwanzo wa kujidharaulisha - hasa wakiwa bado kwenye foolish age yao (19 -27).
Huyo bila shaka kakuona huna lo lote kwake. Labda pesa huna au mwonekano wako. Au anaweza kuwa ana-play hard to get. Hawaeleweki na hata wao wenyewe hawajui wanataka nini yaani.
Ni kwenda nao kwa tahadhari hivyo hivyo.
Pole!
Kwa kweli najutia na nimeapa SITAdhubutu kwenda direct Tena.Nilikaa siku mbili nikasahau maumivu yake na hasira zikaisha.Lakini nilivyokuwa nakutana naye mara Kwa mara nilikuwa simshobokei Wala kumsalimia .[emoji23]BIla kupoteza muda napenda kuwasalimu ndugu jamaa na marafiki mnaosoma Uzi huu mfupi.
Nimekuwa nikikutana na huyu msichana mara Kwa mara maeneo ya chuoni.Ni mweusi havutii Sana.Kila nikikutana naye anapenda kuropoka maneno kama "Njoo twende geto" "Njoo tulale".Anavyokuwa anaongea haya maneno mara nyingi anakuwa na marafiki zake.Mimi Huwa nakaa kimya maana sipendi kuongea vitu vya style hiyo mbele za wanawake Kwa maana hawakawii kukutangaza vibaya chuoni.
Juzi Kati kutokana na njaa ya mbususu Nikasema ngoja nimtongoze.Nimemfuata chumbanj kwake nikijua ni simple kutokana na Yale maneno anayosemaga Kila wakati "Njoo tulale".Nimefunguka yaliyo moyoni japo ni uwongo lakini akanichomolea na kuanza kunicheka.Pia alinipa maneno ya kebehi na dharau ya kuonyesha Kwamba nimeongea upuuzi wa hali ya juu mbele zake na kuniuliza maswali ya kipuuzi yenye malengo ya kunionyesha nilikuwa nimefanya ujinga .
Kwa kweli najutia na nimeapa SITAdhubutu kwenda direct Tena.Nilikaa siku mbili nikasahau maumivu yake na hasira zikaisha.Lakini nilivyokuwa nakutana naye mara Kwa mara nilikuwa simshobokei Wala kumsalimia .
Baadaye nikaanza Tena kujishobokesha kwake nikiwa na matumaini ya mbususu.Akawa ananiambia ninulie hiki ,ninunulie kile.Nilikuwa sinunui maana alikuwa anaomba kama ananiforce.
Jana nikajishobokesha kwake kumwambia kwenye SMS baadaye twende tukale akaniuliza wapi Tena rafiki yangu nikamwambia Chagua wewe unapotaka.Message ilifika lakini haikujibiwa.
Nasisitizia sio msichana mzuri ni WA kawaida Sana sura kama ya Tom Boy.Dinner ikapita ila nilichoona ni kwamba kumbe sio simple kama nilivyokuwa nafikiri mwanzoni alikuwa ananishobokea nilipoanza kumshobokea kaniona kama Taka taka.
Za siku safi; Happy New Year. Bado Uko kule kule?Nipo mkuu, habari ya siku nyingi? Happy new year