Namtamani rafiki wa mke wangu

Mambo ya Walawi 18:5

Kwa ajili ya hayo mtazishika amri zangu na hukumu zangu; ambazo mtu akizitumia ataishi kwa hizo; mimi ndimi Bwana.
18:6 Mtu ye yote aliye wa kwenu asimkaribie mwenziwe aliye wa jamaa yake ya karibu ili kumfunua utupu; mimi ndimi Bwana.
18:7 Utupu wa baba yako, wala utupu wa mama yako, usifunue, maana ndiye mama yako; usifunue utupu wake.
18:8 Utupu wa mke wa baba yako, usifunue; maana, ni utupu wa baba yako.

18:9 Utupu wa umbu lako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, kwamba alizaliwa nyumbani mwenu au kwamba alizaliwa kwengine, utupu wa hao usifunue.

18:10 Utupu wa binti ya mwanao mume, au wa binti ya binti yako, utupu wao hao usifunue; kwa kuwa ndio utupu wako mwenyewe.
18:11 Utupu wa binti ya mkewe baba yako, aliyezaliwa na baba yako, yeye ni umbu lako, usifunue utupu wake.
18:12 Usifunue utupu wa umbu lake baba yako; maana, yeye ni jamaa aliye karibu.

18:13 Usifunue utupu wa umbu la mama yako; maana, yeye ni jamaa ya mama yako ya karibu.
18:14 Usifunue utupu wa ndugu ya baba yako, usimkaribie mkewe huyo; yeye ni shangazi lako.
18:15 Usifunue utupu wa mkweo mwanamke; yeye ni mke wa mwanao; usifunue utupu wake huyo.
18:16 Usifunue utupu wa mke wa nduguyo; maana, ni utupu wa nduguyo.

18:17 Usifunue utupu wa mwanamke na binti yake; usimtwae binti ya mwanawe mume, au binti ya binti yake, ili kufunua utupu wake; hao ni jamaa ya karibu; ni uovu mkuu.

18:18 Wala usitwae mwanamke pamoja na nduguye, awe mtesi wake, na kufunua utupu wake, na kufunua utupu wake, huyo wa pili atakapokuwa yu hai.

18:19 Nawe usimkaribie mwanamke kufunua utupu wake wakati wa kutengwa kwa ajili ya unajisi wake.
18:20 Usilale na mke wa mwenzio, ukajitia unajisi naye.

18:21 Nawe usitoe kizazi chako cho chote na kuwapisha kwa Moleki, wala usilinajisi jina la Mungu wako; mimi ndimi Bwana.
18:22 Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo.

18:23 Wala usilale na mnyama ye yote, ili kujitia unajisi kwake; wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye; ni uchafuko.

18:24 Msijitie unajisi katika mambo hayo hata mojawapo; kwa maana hizo taifa nitakazozitoa mbele zenu zimekuwa najisi kwa mambo hayo yote.

SINA MANENO ZAIDI YA HAYO NA MENGINE NIMEKUONGEZEA USIJE SEMA HATUKUPA USHAURI.
 
Mke wako huwa anakupa kisawasawa!?

Yaani, kuna kipindi nyege zikizidi kila mwanamke utamuona mzuri. Yaani hata kama hana uzuri wowote, utaanza tu kumtafutia uzuri wake wa kipekee.

Ule usemi wa kizungu usemao, 'the beauty is in the eyes of the beholder' nadhani huyo beholder ni mwanaume mwenye nyege.

Unaweza kumtamani akakupa. Baadae unajitafakari, hivi yule nilienda kufata nini pale?

Pole sana Mkuu.

Tuishie hapo hapo.

Beholder ni mwanaume mwenye nyege

Twende kwa mchangiaji mwingine
 
Mke wako huwa anakupa kisawasawa!?

Yaani, kuna kipindi nyege zikizidi kila mwanamke utamuona mzuri. Yaani hata kama hana uzuri wowote, utaanza tu kumtafutia uzuri wake wa kipekee.

Ule usemi wa kizungu usemao, 'the beauty is in the eyes of the beholder' nadhani huyo beholder ni mwanaume mwenye nyege.

Unaweza kumtamani akakupa. Baadae unajitafakari, hivi yule nilienda kufata nini pale?

Pole sana Mkuu.
Bonge la point
 
Ukitaka kuchepuka chonde chonde usiwale rafki zake hzi Ni dharau akijua jua unatengeneza bomu
Chepuka mbali hukoo ukirudi ndani upo Kama Yesu
 
In short, ndoa ina miaka minne sasa na karibia tunapata mtoto. Tatizo rafiki zake mke wangu wa kike wanapokuja nyumbani hata kama ni wabaya kumzidi mke, mimi nakuwa nawatamani sana ata tunavyoangaliana.

Huu ni ugonjwa au sijui ni nini, mimi sitaki kula vya karibu.

Kwenu wakuu mnishauri niondokane na tabia hii.
Kha pepo hiloo
 
Sorry mkuu....
Kwamba ndoa inamiaka nne na ndio mnaelekea kupata mtoto..😲🤨
 
Back
Top Bottom