Amefanikisha kipi katika hayo mapambano hadi leo?
Ameanza lini hayo mapambano? miaka....
Anapigania nini? a... b...c...
Katika watetezi wa haki Tanzania does Slaa name appear really?
Unajua mnapamba huyo mzee mpaka mnachafua bila kufahamu...
He is nobody dude...just a former priest hooked with women has to leave church then happened to be MP and tried to contest for presidential post backed by church networks ended up with only 26% . On road crying foul play with no clues and evidence (that it short story of the man aged 60+)

Nabii hana heshima kwao!

Nabii anatakiwa awe na heshima kabla ya kuheshimiwa ok.
Topical...Amefanikisha kipi katika hayo mapambano hadi leo?
Ameanza lini hayo mapambano? miaka....
Anapigania nini? a... b...c...
Katika watetezi wa haki Tanzania does Slaa name appear really?
Unajua mnapamba huyo mzee mpaka mnachafua bila kufahamu...
He is nobody dude...just a former priest hooked with women has to leave church then happened to be MP and tried to contest for presidential post backed by church networks ended up with only 26% . On road crying foul play with no clues and evidence (that it short story of the man aged 60+)
Michango yake bungeni iliyofichua ufisadi wa RichMond/ Dowans, Meremeta na Deep green, Mikataba mibaya na uonevu wa kunyanganywa ardhi wananchi wa jamii za wafungaji, marupurupu ya wabunge yasiyojali hali halisi ya maisha ya watanzania, kukubali haki yake ikanyagwe na ushindi wake uchukuliwe ili asiwaigize watanzania katika machafuko yaliyokuwa yamepangwa ili kupaka matope wapinzani baada ya kuibiwa kura, kujiepusha na mtego wa udini aliotegewa na genge la wahuni wakiongozwa na Makamba...........................................
Topical...
Kama jina lako lilivyo, topical ni superficial, yani watumika locally na hauko systemic... u superficial and that is typical of topical stuff, not to be inhaled/sniffed, injected nor swallowed
Uko sahihi kwa level yako, which represents lots of people in Tanzania who are CCM... umefungwa na na u mfungwa wa mtazamo na maturity
wanasema la kuvunda halina ubani, i dont see you improving in any way...
Improving is subjective statement dude
Slaa tutamwambia ukweli kumsaidia tu...
Chadema must look for "best presidential" candidate
Slaa will send cdm no where given the qualification and background.
This very topical, really topical issue are discussed
Acheni kumpamba huyu mzee wa miaka 60+
Historia yake na mambo aliyoyafanya TZ is just peanut mkuu...
easy to forget..let him do more feasible and realistic things
simpambi sana mkuu... najaribu kumlinganisha tu na JK kwangu yatosha, Dr. Slaa is the first president in our era kudeclare anagonmbea in just six months na kumtoa kamasi rais ambaye amejiandaa since Nyerere was in power, i mean over 20 years agoImproving is subjective statement dude
Slaa tutamwambia ukweli kumsaidia tu...
Chadema must look for "best presidential" candidate
Slaa will send cdm no where given the qualification and background.
This very topical, really topical issue are discussed
Acheni kumpamba huyu mzee wa miaka 60+
Historia yake na mambo aliyoyafanya TZ is just peanut mkuu...
easy to forget..let him do more feasible and realistic things
Ndugu wana JF nimejaribu kungalia katika Safu ya Viongozi Walipata Kutokea katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Namna walivyotimiza majukumu yao katika Kuwatetea Watanzania wote bila kujali Itikadi zao za Dini na makabila
Namna walivyo walivyowatetea Watanzania bila Kujali au kujiwekea Mipaka katika Majimbo ya Uchaguzi
Namna walivyoweza kuhimili Siasa Chafu za CCM na kuweza kujipambanua kama Kimbilio la Watanzania walio wengi
Kiongozi Jasiri, Mwenye Busara, Aliyewahi kutoa Machozi kuwalilia Watanzania wanaoshi katika Hali duni Kimaisha
Kiongozi aliyekuwa na maono na Kiu ya Kuwatumikia Watanzania na kurejesha Usawa ulipotoea katika Jamii ya Watanzania
Huyu si Mwingine bali ni Dr. Wilbroad Peter Slaa ( PhD), Rais wa Waananchi
Mungu Akuzidishie Afya Njema, Akupe Maisha Marefu, Akuongezee Busara na Ujasiri wa Kupigana kwa ajili ya Watanzania walio wengi wasio jua Haki zao za Msingi, Watanzania Wengi walikuamini wakakupa Kura, bado Watanzania wana Imani kubwa sana na Wewe.
Asante Mungu kwa Kutupa Kiongozi huyu Shupavu kuwahi kutokea, Umlinde dhidi ya Wabaya wake maana yeye ni Sauti za Wanyonge na waja wako
Long Live Dr. Slaa (PhD)
simpambi sana mkuu... najaribu kumlinganisha tu na JK kwangu yatosha
easy mkuu... no need kwenda kwenye matusiCome again...? ukishakuwa na hysteria = govi la ubongo the only way to get circumsized is to go back to school or jifunze thru people wenye uelewa, ww una govi la ubongo
simpambi sana mkuu... najaribu kumlinganisha tu na JK kwangu yatosha, Dr. Slaa is the first president in our era kudeclare anagonmbea in just six months na kumtoa kamasi rais ambaye amejiandaa since Nyerere was in power, i mean over 20 years ago
that alone is a milestone, let alone making people like you sleepless and shameful of your greedy nature