WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,015
Habari wakuu?!
Kuna msemo kuwa "OMBA UTAPEWA" pia "BISHA HODI UTAFUNGULIWA"
Nina jamaa yangu (jinsia ya Kike) anatafuta kazi ya kuuza dukani, supermarket, hotel, petrol station au yoyote inayofanana na hiyo.
Kwa yeyote anayehitaji mfanyakazi katika maeneo tajwa hapo naomba tuwasiliane.
Wasalaam