wewe hebu maliza chuo kwanza, na upunguze kupenda vya wakubwa! hapa tulipo tumeshakandamiza mahari ya Mwita Maranya sasa akigeuza kibao sijui tutalipa nini!Ongea taratibu maana kuna watu wakisikia kama Mwita Maranya GreenCity Baba V itakuwa balaa.Ila hata mimi ghafla nimempenda huyo baba japo sijamuona.......nitulie nae!!!!
ha ha ha ha! yule chalii wa kichaga uliye kula faranga zake atakuja kukutoa mbio! Au unataka urithi?
wewe hebu maliza chuo kwanza, na upunguze kupenda vya wakubwa! hapa tulipo tumeshakandamiza mahari ya Mwita Maranya sasa akigeuza kibao sijui tutalipa nini!
ngoja nipunguze masharti tuseme from 45 kwenda juu !
kweli ujana maji ya moto! haya mwambie shemeji Mwita Maranya sie huku hatuna hizo ng'ombe 20 alizotupa badala yake nitakuwa ninamu-EMpESA na KUM-TIGOpESA au KUM-EATELI MANE taratibu hadi nimalize deni lake! ila muulize kama anakubali kuuachia mzigo wa kinyaki!Nimelia sana nilivyoona comment yako kaka GreenCity......me nikipata matatizo kwa wakurya utashindwa kulipa mahari yake,ntafia huko mie kweli.
Sina jins bora mrudishe mahari mapema,nimeamua kwenda kwa huyu baba!!!!
kweli ujana maji ya moto! haya mwambie shemeji Mwita Maranya sie huku hatuna hizo ng'ombe 20 alizotupa badala yake nitakuwa ninamu-EMpESA na KUM-TIGOpESA au KUM-EATELI MANE taratibu hadi nimalize deni lake! ila muulize kama anakubali kuuachia mzigo wa kinyaki!
ahahaaaaa dah asije akaanza kuogeshwa na ilikiHa ha ha, ila inaleta raha sana binti kuamua kumtongozea mzee, so funny and interesting.
Ila una point, wazee hawa hawafai kukaa peke yao. Wakipatikana candidate wengi, itisha interview na yeye mwenyewe akiwepo. Ni vizuri ungesea kabisa, watakaofikiriwa zaidi ni wale wa Kilimanjaro, wasijeh) wakajitokeza wa Ntwara mkalishwa samaki nchanga uzeeni bure🙂
ooohhh duh kwani nyamayao huna mama dear?
ila na huyo mdada alikuwa mdogo sana bwana loh
Mtafutie baba dogodogo mwenye damu moto wa kumtoa baridi. Hicho kikongwe unachomtafutia kitakuwa kimeshapoa mwili tayari.akipatikana hatakataa! unae mtu?
teh acha maswali we leta mtu kama unae bwanaKweli hiki ni kizazi cha Dot com, kinakataa wazazi kuwachagulia wenza lakini kinataka kuwatafutia wazazi wenza! Dunia ya mabadiriko, nimeipenda hi style hakika, anyway, swali la kizushi, mshua anajua kua mwanae anamtafutia mke?
kwani mi ni wangapi? kama tupo 10 na mi wa tisa je?
duh sisi first born ni wa mwaka 70 na tumepishana miaka 4 4Kama umezaliwa enzi hizo za watoto lukuki baba atakuwa na 77 na aliwahi kuoa akiwa na miaka 17; tofauti yake na mtoto wa kwanza ni miaka 60 na most probably mama alikuwa anazalishwa mwaka kwa mwaka kwa hiyo hutakosa 50 kama ni mtoto wa 10 na hapo kuna baadhi ya watoto nimewapa space ya miaka miwili na wengine mitatu; baadhi tu lakini.