permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,478
- 15,290
Kichwa cha habari hapo juu chahusika, ninaomba kama kuna kijana ambaye ni technician wa civili engineering ambaye yuko mkoa wa Iringa au mikoa ya jirani tuwasiliane. Kuna biashara nataka kuianzisha ila bila ya kupata mtu mwenye ufahamu kidogo katika eneo husika, naweza kupata shida kidogo.
Pamoja na hilo hilo niombe kuulizia bei, eneo vilipo na upatikanaji wa vitu vifuatavyo:-
Mashine ya kawaida ya kufyetua tofali
Mashine ya umeme ya kufyetua tofali
Mashine ya kutengeneza tofali kama zile zinazotumika na Shirika la Nyumba
Na mwishowe ni machine ya kupasua kokoto.
Kwa mwenye ufahamu wa niliyouliza anaweza kunicheki inbox au hata kuandika katika uzi huu.
Natanguliza shukran na kuwatakia mmalize vizuri mwisho wa juma ili kesho kwa majiliwa ya Mungu tuendelee kuchakarika kutafuta pesa zilipo.
Sent using Jamii Forums mobile app