musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 588
- 904
Wasalaam
Namtafuta rafiki yangu anaitwa Stephen Sheiza...mara ya mwisho kuwa pamoja ni baada ya kumaliza A level MOA Temboni
Anaefahamu wapo alipo anijuze...kwao ni Kibaha ila sifahamu ni Kibaha maeneo gani
Asanteni