Namtafuta rafiki yangu wa zamani

Namtafuta rafiki yangu wa zamani

Bonnie lass

Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
8
Reaction score
2
Namtafuta x wangu niliyemtenda,ningependa anipe nafasi ya kumuomba msamaha,hata mimi mwenyewe huwa siamini ningeweza kumkana kama nilivyofanya. Anaitwa Edd ni mzaliwa wa mwanza,nafikiri ni utoto ulikuwa unanisumbua,coz i didn't have to do that.Jioni njema
 
Aiseeee you didn't have to that
 
  • Thanks
Reactions: amu
Teh teh teh teh!! Umechina now ndio unanitafuta, sikusamehe ng'oooo!
 
Ha ha......unga dots wakwetu........ni mzaliwa wa Mwanza.......msukuma labda........anaweza kuwa na undugu na muheshimiwa.........Stukaaaaaa........mjini hapa...........
 
Uwiiii itakuwa Eli79 alihack ac yangu ndio akamwandikia hivyo maana yule nae kwa fitina,

kwakweli mpenzi kipenzi cha roho yangu i was waiting for this moment for soooo long nikueleze ni jinsi gani napata shida kuishi bila wewe, yaani walaaa hauna sababu ya kuniomba msamaha maana hukuwahi kunikosea kabisaaaa, nakupenda kuliko lowassa anavyoipenda ccm.
 
Last edited by a moderator:

I don't believe you,niambie tulikutana wapi kwa mara ya kwanza
 
Last edited by a moderator:
Uwiiii itakuwa Eli79 alihack ac yangu ndio akamwandikia hivyo maana yule nae kwa fitina,

kwakweli mpenzi kipenzi cha roho yangu i was waiting for this moment for soooo long nikueleze ni jinsi gani napata shida kuishi bila wewe, yaani walaaa hauna sababu ya kuniomba msamaha maana hukuwahi kunikosea kabisaaaa, nakupenda kuliko lowassa anavyoipenda ccm.

Teh..nitaziba mirija yote ya mafanikio yako.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha......unga dots wakwetu........ni mzaliwa wa Mwanza.......msukuma labda........anaweza kuwa na undugu na muheshimiwa.........Stukaaaaaa........mjini hapa...........

Huyu mtu ana uhusiano na Mweshimiwa.....??? Unamfahamu nini?
 
Back
Top Bottom