Wanajamvi leo nimemkumbuka ndugu yangu william shao. Mara ya mwisho nilikuwanamsoma sana kwenye gazeti la rai enzi zile za nguvu ya hoja na makala zake moto na zenye ukinzani wa kutosha.namwomba popote alipo aingie kwenye jamvi hili aweze kutumegea anayoyaamini ili sote tuyajadili. Ni kwaniaba ya wanajamvi na kwa ruhusa ya Mkuu naomba michango yako kwenye uwanja huu mpana na uliohuru.