Namtafuta Mwanafunzi yoyote anaesoma chuo ITA

kipo mikochen B,unashukia kituo cha itv,kwa chet na dploma ada ni 1650400,na bachelor ni 1950400,masters 7mill,na clearing and forwarding ni kama laki 8 hv.na chuo knatoa program moja tu customs and tax management
 
Na vp hcho kwny guide ya mwak jan klkuwa kinatoa hyo course priority vp kwa sasa!? Thn hyo course ipooje kwa bachelor n ngumu sana ama vp naomb ufafanuz wakuu
 
kipo mikochen B,unashukia kituo cha itv,kwa chet na dploma ada ni 1650400,na bachelor ni 1950400,masters 7mill,na clearing and forwarding ni kama laki 8 hv.na chuo knatoa program moja tu customs and tax management
Mkuu nahitaj namba za anayesoma hapo chuon... Msaada unahitajika au anftte 0716479352
 
Back
Top Bottom