Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,440
Nenda hospital ya Dr mzena underground facility utamkuta.Jamani ninamtafuta huyu mtu, kuna anayemfahamu?
Nina shida naye.
Ni shida ya kawaida tu.
Nina maswali yangu nahitaji kumuuliza.
Oooh kweli ndugu??Nenda
Nenda hospital ya Dr mzena underground facility utamkuta.
Yupo Ndanda Sekondari, ni Mwl mkuu..Jamani ninamtafuta huyu mtu, kuna anayemfahamu?
Nina shida naye.
Ni shida ya kawaida tu.
Nina maswali yangu nahitaji kumuuliza.
Yupo Ndanda Sekondari, ni Mwl mkuu..
😂😳 which is wichiNenda
Nenda hospital ya Dr mzena underground facility utamkuta.
Aisee,good news.alinifundisha BAM mimi.Jamaa hayup ndanda kwa sasa amepand cheo n afisa elimu
Ni huyo huyoAisee,good news.alinifundisha BAM mimi.
Inasemekana alikuwa mfitini na mshirikina sana?Aisee,good news.alinifundisha BAM mimi.
Alimroga nani?Inasemekana alikuwa mfitini na mshirikina sana?
Mkuu nahisi Kuna mengi kumuhusu unaweza kutuambia kwa tusiomfahamuHuyu mwamba ni mbabe sana akiwa kiongozi wako maana anajiita mzee wa kanuni na taratibu. Anataka moja iwe moja hataki konakona hata chembe.
Wakati akiwa mkuu Ndanda high school walimu na wanafunzi walikuwa wanabanwa mbavu kisawasawa. Hata huko kanda ya ziwa alikopelekwa kuwa Afisa Elimu nako walioko chini wanajua nini maana ya kufuata kanuni na miongozo.
"SIJAWAHI ONA MKUU WA SHULE ANAYEPENDA USAFI KWA VITENDO ZAIDI YA MONGATE KWA HAPA TANZANIA"
Sema jamaa flani poa sana,kipindi niko mara secondary niliumwa afu nikawa sina hata mia,jamaa akanipa 60k.Huyu mwamba ni mbabe sana akiwa kiongozi wako maana anajiita mzee wa kanuni na taratibu. Anataka moja iwe moja hataki konakona hata chembe.
Wakati akiwa mkuu Ndanda high school walimu na wanafunzi walikuwa wanabanwa mbavu kisawasawa. Hata huko kanda ya ziwa alikopelekwa kuwa Afisa Elimu nako walioko chini wanajua nini maana ya kufuata kanuni na miongozo.
"SIJAWAHI ONA MKUU WA SHULE ANAYEPENDA USAFI KWA VITENDO ZAIDI YA MONGATE KWA HAPA TANZANIA"
Ulisoma Ndanda?Huyu mwamba ni mbabe sana akiwa kiongozi wako maana anajiita mzee wa kanuni na taratibu. Anataka moja iwe moja hataki konakona hata chembe.
Wakati akiwa mkuu Ndanda high school walimu na wanafunzi walikuwa wanabanwa mbavu kisawasawa. Hata huko kanda ya ziwa alikopelekwa kuwa Afisa Elimu nako walioko chini wanajua nini maana ya kufuata kanuni na miongozo.
"SIJAWAHI ONA MKUU WA SHULE ANAYEPENDA USAFI KWA VITENDO ZAIDI YA MONGATE KWA HAPA TANZANIA"
HahahahahMkuu nahisi Kuna mengi kumuhusu unaweza kutuambia kwa tusiomfahamu
Alikupa just ya matibabu au?Sema jamaa flani poa sana,kipindi niko mara secondary niliumwa afu nikawa sina hata mia,jamaa akanipa 60k.
Yeah,na kubadili diet.Alikupa just ya matibabu au?
Alikufanyia utu. Mlikuwa mnafahamiana hapo kabla ya wewe kuumwa?Yeah,na kubadili diet.