Baadhi tunajuana tunawasiliana.Sasa jf staff wanajuaje mpaka wanakupiga hiyo badge...
Aisee ulijiunga Jf ukiwa primary?Doh,Mimi mtajua Tu tena kabla hata sijazikwa mtajua na mtakuja kunizika
JF imekuwa familia Bora Sana kwangu Tangu Niko primary Hadi sasa hivi Mzee mzima πππ
Ni kweliSawa nadhani ni kweli uliyoyaandika.
Hongera sana.Ni kweli
Ooooh sawasawa.Ndio mkuu, tuna wapenzi,wafanyakazi,wateja,marafiki na jamaa humu wanaofahamiana
Huyo member bilashaka ndio wewe! Acha kutufanya hatuna akili wewe.!Happy Sunday Wakuu
Namtafuta member wa zamani Sana humu jamvini alikuwa anaitwa Deception wale wakongwe nadhani mnaweza mkumbuka
Miaka 12 iliyopita alikuwaga active Sana
Mwenye taarifa zake tafadhali
Duh... hapo sawa.....Baadhi tunajuana tunawasiliana.
Mtu unayemfahamu akifa ukitoa taarifa hapa JF uongozi unaweka hiyo R.I.P.
Mfano dada yetu Valentina alikuwa mtu wa watu alikutana na member wengi humu JF.
Personally nilibahatika kuwasiliana naye kwa simu.
Sawa subiri dear.Dah, ayseee inawezekana maana sio kawaida embu tafuta
πππHuyu wa wapi tenaHuyo member bilashaka ndio wewe! Acha kutufanya hatuna akili wewe.!
Ndio MkuuAisee ulijiunga Jf ukiwa primary?
Duh yani humu tupo na watoto wetu mpaka wajukuu ππNdio Mkuu
Wewe nimekupokea JF πππDuh yani humu tupo na watoto wetu mpaka wajukuu ππ
Kivipi na umejoin 2017Wewe nimekupokea JF πππ