Namtafuta Member Deception

Nimezikitika mno ety
Mtu kafanya birthday party sjui ndiyo good bye ubachela

Halafu beer kakopa kaunta kweli ๐Ÿ˜ซ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ nimelia mno nimelia mno cc Seran
 
Mimi pamoja na kuwa zaidi ya 15yrs humu nawafahamu watatu tu. Na kuna wawili wananifahamu lkn sina hakika kama ni member au wamenificha ID zao.
 
Mimi pamoja na kuwa zaidi ya 15yrs humu nawafahamu watatu tu. Na kuna wawili wananifahamu lkn sina hakika kama ni member au wamenificha ID zao.
Doh,Mimi mtajua Tu tena kabla hata sijazikwa mtajua na mtakuja kunizika
JF imekuwa familia Bora Sana kwangu Tangu Niko primary Hadi sasa hivi Mzee mzima ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ