Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,178
- 9,930
Mhhh.... halafu kuna id zina badge ya R.I.PHuyu member si tuliambiwa Amefariki? Au nachanganya ID?
Jamani, embu ni tag kwenye huo Uzi kama utaupataHuyu member si tuliambiwa Amefariki? Au nachanganya ID?
Ndio, ila nimeona yake hainaMhhh.... halafu kuna id zina badge ya R.I.P
Ndo huyu huyu πππNi huyu alikua anasema HIV ni Kinjekitile na vita ya majimaji?
Kuna mtu anamtafuta Sana Sana na Mimi Ndo nilimuunganishaga nae miaka hiyoWa muda sana aisee!
Wengine ni kuwaacha wapite tu mleta mada, huwa wana kuja kwa wakati fulani na wakati fulani pia wanatoweka moja kwa moja.
Sasa jf staff wanajuaje mpaka wanakupiga hiyo badge...Ndio, ila nimeona yake haina
Sijui hata wanajuaje ila kuna Yule Ibra pia dah aliniuma Sana Yule kaka maana alichungulia kaburi na akarudi tena halafu after siku moja Tu akafa mazimaSasa jf staff wanajuaje mpaka wanakupiga hiyo badge...
Watu wanaokufahamu watatoa taarifaSasa jf staff wanajuaje mpaka wanakupiga hiyo badge...
Duh... sasa id zetu wengine tunazijua wenyewe tu, labda kama kuna mwanafamilia ni mdau wa jfWatu wanaokufahamu watatoa taarifa
Inasikitisha sana.... mkuuSijui hata wanajuaje ila kuna Yule Ibra pia dah aliniuma Sana Yule kaka maana alichungulia kaburi na akarudi tena halafu after siku moja Tu akafa mazima
Kufahamiana?Ngoja ikitokea.Watu wanaokufahamu watatoa taarifa
Sasa Ndo itakuwa kama hivi tunakutafuta kumbe ushabaki mifupaDuh... sasa id zetu wengine tunazijua wenyewe tu, labda kama kuna mwanafamilia ni mdau wa jf
Halafu sijui kwanini mtu akiwa nje ya JF akiulizwa kuhusu JF anasema haijui au hatumii πππWatu wanaokufahamu watatoa taarifa
Ndio mkuu, tuna wapenzi,wafanyakazi,wateja,marafiki na jamaa humu wanaofahamianaKufahamiana.Ngoja ikitokea.