Namtafuta mbunge wangu wa Hanang’

fungafunga

Senior Member
Mar 30, 2010
116
155
Niwaombe mhusike na kichwa cha habari hapo juu!
Nasikitika kwa ukimya wa mbunge wangu huyu! Mwenye taarifa zake popote alipo naomba mumfahamishe kuwa mimi mwananchi wake sijamsikia wala kumuona popote kwa zaidi ya miaka mitatu sasa!
Siombi chochote kutoka kwake zaidi ya zile ahadi alizoniahidi wakati wa kampeni zilizopita.
Popote alipo mumwambie arudi aje kutusalimia na kutupa taarifa ya wapi amefikia katika kutekeleza ahadi zake!
 
Sheria ya kuhumsu mbunge inafanana na ya CAG.
Wananchi wana power ya kumchagua mbunge wao lakini kumuondoa inabidi wasubiri tarehe ya uchaguzi mwingine
 
Wewe ni wa Hanang' sehemu gani!?, hawezi kanyaga tarafa ya Katesh, tatizo CDM ilishindwa kuleta mshindani madhubuti ikaleta mtoto wa "chuga"kugombea Hanang'.Kati ya majimbo rahisi CDM kushinda ni hili ila makao makuu huwa wanatuhujumu kwa kupitisha "wapendwa wao ."
Niwaombe mhusike na kichwa cha habari hapo juu!
Nasikitika kwa ukimya wa mbunge wangu huyu! Mwenye taarifa zake popote alipo naomba mumfahamishe kuwa mimi mwananchi wake sijamsikia wala kumuona popote kwa zaidi ya miaka mitatu sasa!
Siombi chochote kutoka kwake zaidi ya zile ahadi alizoniahidi wakati wa kampeni zilizopita.
Popote alipo mumwambie arudi aje kutusalimia na kutupa taarifa ya wapi amefikia katika kutekeleza ahadi zake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuahidi kukusaidia

Nipo mogitu ila nipo sana
Kuanzia waret, gidagamod, sechet, mulbadaw,murjanda mpaka gawal,basout mpaka hydom kote huko ni nyumbani tu
 
Ila haydom sio Hanang ',mkuu 2020 mnayo nafasi ya kufanya mabadiliko

Sent using Jamii Forums mobile app

Najua haipo hanang’ ila nilitaka kukujibu kuwa hayo yote ni maeneo yanayonihusu kimaisha!
Ombi langu kwako na kwa wengine wote mlionae huko daesalama, mwambieni kuwa tunamwita huku aje atupe taarifa za maendeleo ya utekekezaji wa ahadi zake. Hatuja muona wala kumsikia siyo bungeni wala radioni kwa muda mrefu sasa!
 
Niwaombe mhusike na kichwa cha habari hapo juu!
Nasikitika kwa ukimya wa mbunge wangu huyu! Mwenye taarifa zake popote alipo naomba mumfahamishe kuwa mimi mwananchi wake sijamsikia wala kumuona popote kwa zaidi ya miaka mitatu sasa!
Siombi chochote kutoka kwake zaidi ya zile ahadi alizoniahidi wakati wa kampeni zilizopita.
Popote alipo mumwambie arudi aje kutusalimia na kutupa taarifa ya wapi amefikia katika kutekeleza ahadi zake!
Na Mathayo David wa Same Magharibi
 
Back
Top Bottom