Namtafuta mbunge wa Chalinze

NDEKUYO

Senior Member
Oct 6, 2012
184
33
Nasikia jimbo la chalinze lina mbunge kupitia ccm anaitwa Saidi mwenye habari zake hebu anijulishe maana ni mbunge wangu mimi sijawahi muona hata siku moja toka uchaguzi na wala sijui anafanya nini. Pia naomba m4c hebu ije Chalinze kulikomboa hili hawa Magamba hakuna kitu wanafanya wananchi wamepigika kuliko maelezo. Tembelea zahanati zote dawa hakuna hata karatasi za kufungia paracemol hakuna linachanwa daftari la mgonjwa then kufungia yaani majanga matupu.
 
Huyo mwizi na tapeli binafsi namdai 2.136mil

Alikuwa mwalimu CBE. Jimbo alilichukua kimagumashi baada ya wazigua wa Miono kuamua kupigia kura Kafu au cdm endapo ccm ingeendelea kuteua Wakwere kuwa wagombea ubunge.
Lakini pia mbunge ambaye alipendwa sana na ilitegemewa 2015 agombee ni Ramadhan Maneno ambaye kwa makusudi JK akamgawia ukuu wa wilaya Kigoma ili ashindwe kujipanga kutokana na ubize na umbali.
Bwana mdogo kazi yake ni kugonga wanawake tu
 
Said Bwanamdogo aliacha ukuu wa Wilaya akaenda kugombea ubunge kumuondoa Ramadhan Maneno akitegemea kupata Uwaziri lakini hakuupata. Inawezekana alipata ugonjwa wa sononi.
 
Said Bwanamdogo aliacha ukuu wa Wilaya akaenda kugombea ubunge kumuondoa Ramadhan Maneno akitegemea kupata Uwaziri lakini hakuupata. Inawezekana alipata ugonjwa wa sononi.

Maneno aligombana na mkulu. Salma alitoa mashine za kusaga Maneno badala ya ku acknowledge msaada wa mama Mwanaasha yeye akaenda kujitwalia ujiko wa kisiasa pale pera kwa mwarabu. Tangu pale hawakuwa wanaelewana
 
Lakini si aliukwaa ukuu wa Wilaya mwaka huu au?
 
Namkumbuka hata Maneno alikuwa anatutembelea angalau. Jamani nitafutieni mbunge wangu.
 
subiri ataonekana anatafuta hela za kuchimbia visima na kujenga madaraja na wamemuahid atapat 2014.kwahiyo atakuja muda huo kuwa mvumilivu.
 
MBUNGE WA NINI WAKATI RAIS ANAFANYA KAZI ZA MBUNGE

ms8.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom