Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,577
SawaBado mkuu km ukimuona mwambie bado namtafuta
SawaBado mkuu km ukimuona mwambie bado namtafuta
Leo rasmi huyu mama kanitamkia kwamba yeye sio Mama yangu niende nikamuulize vizuri Baba yangu Mama yangu ni nani?Sawa
Basi umepata pa kuanzia, nenda sasa ukamuulize mzee. Pole sanaLeo rasmi huyu mama kanitamkia kwamba yeye sio Mama yangu niende nikamuulize vizuri Baba yangu Mama yangu ni nani?
Ina maana yeye aidha anamjua Mama yangu au hamjui Mama yangu ila hataki kuniambia kwa hio nimuulize Mzee Mama yangu ni nani? Kisha Mzee ndie atakaenipa jibu kwamba Mama yangu ni nani ila kasema yeye sio Mama yangu
Wakuu nilishasema kuna sauti ya ndani inaniambia huyu sio Mama yako na sauti hio inaniambia tena kwamba huyu sio Mama yako aliekuzaa na yeye ananionyesha kabisa kua yeye sio Mama yangu kuna viashilia vyote kwa 98% kua huyu sio Mama yangu
Ingia uchawa ila umzidi Lucas Mwashambwa ufanikiwe kuwa karibu ya mama, huyo ndiye.Naomba kuwasilisha kwenu Wakuu.
Namtafuta Mama yangu nahisi kuna asilimia nyingi zisizopungua 95 huyu Mama ninaehisi ni Mama yangu Mzazi sio Mama yangu Mzazi halisi, kuna kitu kinaniambia kabisa ndani yangu kwamba huyu sio Mama yako aliekuzaa ila Mama yangu alienizaa sijui alipo. Mama yangu mzazi popote ulipo uisikie sauti yangu hii, Mama kwanini ulinitupa? Kwanini uliniacha peke yangu?
Wamama leeni watoto kwa upendo km mtoto sio wa kwako usimuonyeshee wazi wazi kua wewe sio mama yake km umeamua kumlea lea kwa moyo mmoja ajione km wewe ni Mama yake sio vinginevyoBasi umepata pa kuanzia, nenda sasa ukamuulize mzee. Pole sana
Sio makosa yetu. Ni nature. Ukilazimishwa kulea mtoto lazima hutamlea kwa upendo. Ila mama akitaka mwenyewe kulea ambae sio wake atamlea kwa upendo lazima. Wababa acheni kulazimisha wake zenu wawalelee watoto wenu..pelekeni kwa mama zao wakiwa wakubwa muwachukue.Wamama leeni watoto kwa upendo km mtoto sio wa kwako usimuonyeshee wazi wazi kua wewe sio mama yake km umeamua kumlea lea kwa moyo mmoja ajione km wewe ni Mama yake sio vinginevyo