Naona umekosea huyu MAKUSARO ni mwanaume anaitwa MAKUSARO TEMBA ni mzaliwa wa kijiji cha MWASI KASKAZINI, URU KISHIMUNDU, na kata ya URU MASHARIKI kwa sasa hana dili lolote anafanya kazi nyumbani kwa mshikaji mmoja hapo Kishimundu.Bwana Makusaro hana contact zozote labda uache za kwako kuna mtu naweza kumpatia akakuunganisha naye.