Namtafuta Lukas Mwanshambwa na wenzake

Mimi pia nawatafuta popote walipo
 
Lucas yuko anabubujika machozi ya damu na kamasi vikitoka ngoja amalize mbubujiko atakuja na slogani mama umewauwa wengi tunaomba utupishe maana ameshafikiwa

Wanasema Msimba uusikie kwa mwingine sio kwako, sasa yamewafika hawana ujasiri tena
 
Mika 7:3-5

[3]Mikono yao inayashika mabaya wayatende kwa bidii; mtu mkuu aomba rushwa, kadhi yu tayari kuipokea; mtu mkubwa hunena madhara yaliyomo rohoni mwake; hivyo ndivyo wayafumavyo hayo pamoja.

[4]Mtu aliye mwema miongoni mwao ni kama mbigili; mtu aliye mwenye adili miongoni mwao ni mbaya kuliko boma la michongoma; hiyo siku ya walinzi wako, yaani, siku ya kujiliwa kwako, imefika; sasa kutatokea kufadhaika kwao.

[5]Msimwamini rafiki, msimwekee kiongozi tumaini; ilinde milango ya midomo ya kinywa chako ili mkeo alalaye kifuani mwako asijue habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…